Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mdogo wangu ni Mwanafunzi wa kidato cha nne mwaka huu (2016), Bahati Mbaya Kapatiwa Ujauzito wenye zaidi ya miezi mitatu sasa, Nashindwa kujua namsaidia vipi kwa sababu zifuatazo 1. Ni uzembe na...
3 Reactions
40 Replies
4K Views
Sijielewi, najiona mkosaji, sifai kuishi kwenye hii dunia. Nasikia sauti inaniambia nijiue ndo itakua heri kwangu. Kuna sauti nyingine inaniambia nitoroke niende mbali nisionekane. Wakuu...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Wasalaam wakuu, Bila shaka wengi wetu tumeshashuhudia Wanaume wengi walioko kwenye ndoa ambao hawana Uwezo wa kuzalisha na kisha kuwaambia wake zao watafute wanaume nje kwa siri ili wapewe...
3 Reactions
26 Replies
4K Views
Wanaume msidanganywe, pale hakuna cha kuoshwa wala nini! Leo nimepita sehemu nikakutana na mdada mmoja kawekwa kati anasuguliwa miguu na kuoshwa! Dah jamaa akawa anakanda hadi kwenye mapaja! Cha...
5 Reactions
50 Replies
11K Views
Habari zenu wana MMU Leo nimewaletea zawadi ya somo zuri .. NAAMINI KATIKA SOMO HILI NA BAADA YA KUYAFANYA HAYA NAOMBENI MREJESHO .. katika Mapenzi kuna vitu vingi unaweza kumfanyia Mpenzi wako...
1 Reactions
2 Replies
5K Views
Chukulia kuna washikaji watatu x,y na z. Unakutana nao mahali au barabarani, kutokana na ulivyo, yaani uko vizuri mtoto wa kike wewe na ukaona kabisa wale vidume wanakutolea macho na kukumezea...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wadada wenzangu hbr za jpili? Bilashaka mko poa. Rejeeni kwenye mada husika. Nimetafakari kwa kina tatizo linalotukabiri wanawake wengi la kutokuolewa nikapata jibu kuwa sisi wenyewe ndiyo...
4 Reactions
85 Replies
13K Views
NI VEMA UKAYAJUA HAYA KABLA YA KUINGIA KWENYE NDOA: 1. Sherehe ya Harusi ni ya siku moja tu, na Ndoa ni ya maisha yote. 2. Mwanamume/Mwanamke aliyezoea kuchepuka kabla ya Ndoa, ataendelea...
7 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari zenu wadau,napenda kutoa shukran zng za dhati kwa Mungu kwa kunitua mzigo alonitwika,nilichojifunza kuwa subira ni ngumu ila inamalipo. Awali nilitumia madawa ya kienyeji na ya hospitali...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Habari za asbh wana JF, Napenda kuwaambia kuwa kuishi na mpangaji mwenzio alafu anakuonea wivu wa kimaendeleo ni shidaaa. Wiki 2 mbili sasa kichwa hakiachi kuuma, nimekwenda Hospital mara kadhaa...
2 Reactions
51 Replies
6K Views
Nimefuatilia sana katika media na maongezi mbalimbali juu ya swala la usawa wa wake kwa waume,nikagundua kuwa wengi wanahisi,usawa wa wake kwa waume unaongelea juu ya mgawanyo wa majukumu Fulani...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
WASH'KAJI EEEEEEEH! KUNA SUALA LINANIKWAMISHA HAPA KWENYE HIKI KIPENGELE CHANGU CHA KUOA. HUKU KITAA PANDE ZA TABATA_SANENE KUNA MTOTO MZURI MWEUPEEEEH! HALAFU KAJAZIA VEMA, NI MKARIMU...
1 Reactions
24 Replies
4K Views
Wakuu wa nchi naomba kuuliza, hivi ukimkuta mke wako wa ndoa yuko na mwanaume mwingine wanagegedana live utafanyaje wanaume wenzangu ? Kuwapiga panga ? Kumtimua mkeo ? Kuwapiga na manati ya...
1 Reactions
33 Replies
6K Views
Huyu Dada kwa kweli naweza nikasema ni wale miongoni mwa wanaojiuza, alifanya hayo yote sababu ya shida alizonazo ukilinganisha na huku tulipo ni mbali na nyumbani. Aliishi maisha ya tabu sana...
1 Reactions
54 Replies
6K Views
Habari za kwenu wadau jf members Rejea kwenye tittle hapo juu, zama za kale naamini huu ndiyo hulikuwa utaratibu rasmi na wazee wetu wa zamani waliweza kuwa wavumilivu kwa kutofanya ngono mpaka...
0 Reactions
73 Replies
14K Views
mundimukanga?? wakuu kutokana na hali ya hewa leo kulikuwa na foleni sana sasa wakati natoka posta nikaamua nitembee mdogo mdogo labda mbele foleni litapungua nitapanda public transport mpaka...
4 Reactions
59 Replies
7K Views
Wakuu kizuri share na wenzio. Kuna data hapa nataka ku share na nyie, Hususani vijana wa kiume wa umri wa 23/29. Ni mara ya Kwanza natupia uzi. Marekebisho ya uandishi yanakaribishwa. Juzi...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
habari za jpili wandugu leo nataka na mimi nichangie angalau kimechonitokea kifupi mimi ni mgeni hapa dar nina miezi miwili hivi tangu nije kutafuta maisha baada ya kumaliza chuo, basi hapa...
2 Reactions
16 Replies
3K Views
Habari wanajamvi; Kuna baadhi ya tabia au mazoea ya mtu ambapo huwa hayakomi hadi mtu ayakane mwenyewe Kisaikolojia.Tabia hizi huwa hata kama mtu huyo akutwe na janga ama hasara katika jambo lile...
2 Reactions
17 Replies
4K Views
Back
Top Bottom