SamTu160
JF-Expert Member
- Feb 25, 2016
- 624
- 568
Wakuu kizuri share na wenzio. Kuna data hapa nataka ku share na nyie, Hususani vijana wa kiume wa umri wa 23/29.
Ni mara ya Kwanza natupia uzi. Marekebisho ya uandishi yanakaribishwa.
Juzi ijumaa nilipata mwaliko kutoka kwa jamaa angu ni Dr jina (recorded nitarusha baade) anafanya kazi serikali kwenye taasisi ambayo inasupotiwa na USA.
Taasisi hii inahusika na kutibu, kuelimisha na kuwapa vitendea kazi makundi yanayofanya biashara ya kutoa au kununua huduma ya utamu (gift of nature).
Hii Taasisi pia inajihusisha na upimaji wa kundi hili la kutoa au kununua huduma katika maeneo ya kazi pengine na kuwashauri kutembelea office zao maneno ya Temeke .
Kwa Ijumaa tulitembelea maeneo ya Africa sana kwenye zile pub maarufu, Kariakoo na pub moja viwanja vya TCC.
Usiku huo tuligawa vitendea kazi kwa Men who have Sex with Men (MSM) na Kwa wa bebiez /dadaz kupitia network ambayo imetengenezwa na Taasisi. Baadhi yao walijitolea kupima HIV kwa hiari.
Mbali na kushangazwa na kiwango cha ongezeko la wanaume wanao shirikiana faragha na wanaume wenzao, kilichonishangaza zaidi ni twakimu za matokea ya upiamaji wa HIV na biashara inayofanyika pale.
Katika hayo maeneo maarufu, kwa MSN wa 8 kati ya 10 na babiez 12 kati ya 20 wana maambukizi ya HIV..
Nilishagwaza na vijana wadogo wanaochipukia kwenye industry hatari ya mapenzi wakienda pale kujipatia Kirahisi gift of nature. Nikajiuliza hao vijana & wazee wanaopiga kilaji hivi kwenye tukio wanatumia speed governor?
Mbaya zaidi wanunuzi wengi ni watu waliopo kwenye ndoa. Sipati picha njisi gani watoto watakavyo achwa wakiwa.
Waswahil Wanamsemo mjumbe hauwawi. Langu limefika vijana dunia ni yenu, chaguo ni lenu. Kuweni makini sana na hii mizigo. Tumieni kinga ikibid tulia na mpenzi wako mwaminifu mmoja. Kingine acheni tabia za kuiga au kukaa geto moja mkiwa wengi.
Starehe zipo nyingi Lakin hii ya kununua au kuuza gift of nature mwisho wake ni kufa bila historia.