Nionavyo mimi na niwachukuliavyo mimi ni kuwa wanawake ni wazuri usoni wakitabasamu ila rohoni wakatili sana.
Anayepinga atueleze kama kuna mwanamke asiyetabasamu ila wapo wanaume wasiotabasamu...
Habari wandugu.
Kuna ishara nyingi ambazo mtu yeyote awe ndugu, unayemdai au mchumba/mke/mume akikuonyesha ujue mahusiano ndio yameisha. Hauhitaji hata kuuliza kwa nini.
Mfano ukiwa unampigia...
Naomba kufahamu, humu ndani kuna wanawake pure kutoka Bara Hindi? Yuropa na America.
Kwa kifupi tu napenda dating na Europeans, imay start my assignment here.
Can we please know each other,
pm...
Jamaaaani haya mapenzi kwanini yasiwe na formula basi tukajua kama nikwenda kuyasomea kuzama darasani ikajulikana moja.
Mpaka sasa natamani mapenzi ya kweli bora yangekuwa yanauzwa supermarket...
Aliyekuwa waziri mkuu wa Kenya Raila Odinga alikuwa humu Tanzania hivi majuzi.
Kati ya mambo waliyojadili na mwenyeji wake Rais Magufuli ni jinsi mmea wa MIRAA {Mirungi} unaweza kuanza tena...
Hawa wanafunzi hawa, shetan ananiita kabisa na miaka 30 ileeeee , ebu nipen mbinu waungwana
Mimi ni mwalim nafundisha shule frani hivi na tokea nmeanza kufundisha sijamaliza hata mwaka
Kuna...
Hii imetokea baada ya mwanamke kugundua kuwa jamaa anatoka na mwanamke mwingine kwa kumficha
Baada ya demu kugundua akawa anamsaka jamaa bila mafanikio,hapa na hapa akakutana na jamaa viwanja...
From a young age, girls are surrounded by images and words that tell them they should focus on their physical beauty, especially through advertisements and commercials.
Many of these ads are for...
Kwa kweli mimi sielewi hiki ni kitu gani jamani baba ambaka mtoto wake wa miaka tisa na kumlazimisha kulamba shahawa zake. nikajiuliza hii ni nini? mwisho wa dunia au mwisho wa binadamu...
Hii nimeipata kwenye tovuti ya habari, mwanamke ameolewa na mume ambaye hachoki na hatosheki, wanafanya tendo la ndoa mara nane kwa siku. Mke anasema mumewe ni mzuri sana kitandani na kweli huwa...
Habar wanajamvi,nahitaj marafik wa kubadilishana nao mawazo ya kimaisha ya kila cku jinsia zote.karibun sana aliye tayar anichek kwa email: josephsadock2@gmail.com
Ugomvi wa kimapenzi wamalizikia kwenye gar
Image captionRange Rover
Picha za gari lililokuwa na ujumbe wa kukasirisha uliochorowa katika gari hilo zimesambazwa mara elfu katika mtandao wa...
Habari kwenu nyote
Nimekuja humu leo kwasababu na shida muhimu sana iliyotokea kwenye maisha yangu naitaji msaada kuna wale watu waliobarikiwa kusaidia wenzao ukiguswa naomba uniandikie pm...
MTUNZI: George Iron Mosenya
TUNUKIO!
Simulizi hii ni maalumu kwa kila mtanzania na yeyote anayezungumza na kukisikia Kiswahili. Simulizi hii iondoke na mawazo finyu uliyonayo kuhusu walemavu
wa...
Kwa masikitiko makubwa mno leo najitokeza kueleza KERO yangu kwenu Dada zetu kutokana na MATESO mnayotupa hasa ya kututia hasara kila kukicha.
Sijui Dada zetu siku hizi mmeingiliwa na nini kwani...
Wakati mwingine huwa nahisi nimerogwa, linapokuja swala la huyu Ex wangu sijiulizi mara mbili mana bado nampenda si kidogo.
Miaka mitatu tangu tuachane ila bado tunakutana na kushirikiana vitu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.