kamati
JF-Expert Member
- Mar 20, 2013
- 240
- 109
habari za jpili wandugu leo nataka na mimi nichangie angalau kimechonitokea kifupi mimi ni mgeni hapa dar nina miezi miwili hivi tangu nije kutafuta maisha baada ya kumaliza chuo, basi hapa ninapoishi nikatokea kumpenda dada mmoja mpangaji mwenzangu nikajieleza vya kutosha akantosa, sikukata tamaa nikakoma nikamwaga mashairi na mashairi akatosa nikajiongeza nikamuahidi kumpa zawadi cha ajabu akakubali zawadi niaenda kariakoo nikateketeza kama 50k kununua vitu nilimpa cha kushangaza leo kaja geto nikagegeda duh nimeshangaa sana ina maana bila pesa wewe hupati mwanamke?