Bigbootylover
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 2,847
- 1,826
Chukulia kuna washikaji watatu x,y na z.
Unakutana nao mahali au barabarani, kutokana na ulivyo, yaani uko vizuri mtoto wa kike wewe na ukaona kabisa wale vidume wanakutolea macho na kukumezea mate.
Wewe katika kuangalia ukaona kabisa x hakufai, y afadhali kidogo, z ndio anakufaa na unapenda yeye ndo akusemeshe. Sasa unakuta anakuja x ambaye unaona kabisa sio type yako, hapo huwa mnafanyaje ili kuonesha au kumpa ishara yule ambaye anakufaa ndo akusemeshe?