boyson onlye
JF-Expert Member
- Sep 13, 2015
- 1,108
- 1,397
mundimukanga??
wakuu kutokana na hali ya hewa leo kulikuwa na foleni sana sasa wakati natoka posta nikaamua nitembee mdogo mdogo labda mbele foleni litapungua nitapanda public transport mpaka home
Hali ilikuwa bado tete nikaamua nipitie njia ya manyanya maana ilikuwa short cut kwangu ili nifike haraka home.
baada ya kufika manyanya nikaingia uchochoroni maana naijua vizuri sana mitaa ile ili nitokee kambangwa secondary
baati nzuri nikakuta wadada wanajadili na kulalamika kuwa
"Wanaume siku izi hawatoi ela yaan wanaume zangu wote ukiwaomba ela wanakuzungusha na wengine wanakuzimia simu kabisa yaani mwaka huu tofauti kabisa na mwaka jana ambapo mwanaume unamuomba elfu 20 anakutumia elfu 25........"
Nilifarijika kidogo moyoni maana hata mimi huu mwaka tangu uanze sijaonga
Nawakilisha