G Sam
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 11,593
- 36,012
Wanaume msidanganywe, pale hakuna cha kuoshwa wala nini! Leo nimepita sehemu nikakutana na mdada mmoja kawekwa kati anasuguliwa miguu na kuoshwa! Dah jamaa akawa anakanda hadi kwenye mapaja! Cha ajabu mwanamke yule akawa kama yuko kwenye hisia kali huku akiwa kajiachia uchi kabisa hadi unaona "ndani" mwenyewe ka-relax wala hana habari! Kwa kifupi ni kuwa alikuwa kwenye dimbwi la raha!
Kilichonistaajabisha ni kuwa jamaa alikuwa na foleni ya wanawake kama wanne hivi kati yao wapo wenye pete zao wanasubiri na wao kupata huduma ya kutomaswatomaswa mapaja kwa kitambaa laini chenye maji ya uvuguvugu!!
Hadi naandika humu nimefanya tafiti mbalimbali na kugundua kuwa wengi sana wa wanaoenda kupata ile huduma kuna kitu wanatafuta! Yes! Faraja ambayo huenda hawaipati sawasawa huko kwao kwenye wakwao!
Dah haya banah!!!