Ukimfumania mke wako utafanyaje?

Mavindozii

JF-Expert Member
Oct 20, 2012
2,111
2,778
Wakuu wa nchi naomba kuuliza, hivi ukimkuta mke wako wa ndoa yuko na mwanaume mwingine wanagegedana live utafanyaje wanaume wenzangu ?

Kuwapiga panga ?
Kumtimua mkeo ?
Kuwapiga na manati ya kizungu ?
Kumla tigo huyu mwanaume anayembanjua mkeo ?
Kuvunja ndoa ??
Kusamehe na kwenda kupima HIV .
Mimi kama mimi ni kutimua tuu!
 
na me nahakikisha nachepuka ili tuwe 50 kwa 50...!!
 
Mm niwaambie wa endeleee afu nawapiga picha za kutoshaa na kuondoka
 
Kichapo mpaka kifo kama ndumilakuwili anataka kukaba au kukutana na panya road SAA kumi na mbili muda wa kufunga kazi!!!
 
Unawagonga rafiki zake wote wa karibu na baadhi ya ndugu zake wa kike hasa mama yake kama ukishindwa kumtoa kafara
 
Nahakikisha wameniona halaf nawachukua vid nitakayoscreenshot then siulizi kitu
 
binafsi sijawahi kumkamata demu red handed ila nishawahi kukuta msg za mapenzi ktk simu yake, nikambana akanambia ni kweli mtu wake akalia sana hapo nimsamehe nikamwambia fresh kiroho safi ila nilichukua namba ya jamaa bila yeye kujua, siku moja nikamwambia tutoke kisha nikampigia jamaa aje nikawapambanisha, hiyo siku nilicheka sana walivyokuwa wanakataana, nikamwambia dada unaweza kuendeleatna maisha yako, (eti) alipata pressure akaanguka hapo ikabidi tuanze kumpepea hapo na jamaa yake, mpaka leo anaomba turudiane eti hajaona mtu kama mimi namwambia mama sikiliza apologize by justin timberlake
 
Siku nikimfumania ndio nitajua nini cha kumfanya, lakini ni hakika sitaishi nae tena! Siwezi kuishi na mzinzi huku najua kabisa ni mzinzi.
 
Nikikufumania na Uran ntakuzika ukiwa hai.

Jaribu uone kama natania.
Hahahahaa...na pengine ukawa kimya tu. Unawwatengea maji ya kuoga kabisa. Kisha unakaa sittin room unaweka MTV base kimya..unawasubiri watoke.
 
Nitamshukuru sana my wife kwa kuniolea mke mdogo, na siku hiyo itakuwa zamu ya mke mdogo huku mke mkubwa akishuhudia mjegejo.

Sitamfukuza bali nitazidisha upendo kwake maana huyo jamaa hawezi rudi tena kwa maana naye keshakuwa mwanamke mbele ya my wife wangu!!!!
 
Usiombe kukutana na shida hii ni sawa na usiku wa giza nene. Ni mfadhaiko na haitoki akilini mpaka kaburini
 
Back
Top Bottom