Madam Mwajuma
JF-Expert Member
- Sep 13, 2014
- 7,069
- 6,743
.
Waliambiwa watakula kwa jasho lao,si chakula peke yake...hata vile vinavyomeza wenzao.teh teh teh teeeeh!! ngoja nicheke mie. kama una uhakika wa kupata maziwa kufuga ng'ombe ni kihere here chako(wahenga walinena)
waambie wasilalamike ndio uanaume huo,wasisahau na kula vizuri na kufanya mazoezi wajenge heshima na kwenye naniliu
Usingechangia hivi ningekata kichwa changu....!teh teh teh teeeeh!! ngoja nicheke mie. kama una uhakika wa kupata maziwa kufuga ng'ombe ni kihere here chako(wahenga walinena)
waambie wasilalamike ndio uanaume huo,wasisahau na kula vizuri na kufanya mazoezi wajenge heshima na kwenye naniliu
kwa hyo unataka ulipwe na kitandani uridhishwe sio?teh teh teh teeeeh!! ngoja nicheke mie. kama una uhakika wa kupata maziwa kufuga ng'ombe ni kihere here chako(wahenga walinena)
waambie wasilalamike ndio uanaume huo,wasisahau na kula vizuri na kufanya mazoezi wajenge heshima na kwenye naniliu
Ushawahi sikia wanaume wenye pesa wanalalamika kuombwa hela? Hizi kelele za humu za wauza karanga ndo tusipumue..... Mtu ana anzisha thread eti kaombwa buku ten
Mizinga hauepukiki hadi pumzi ya mwisho
Haya bana..teh teh teh teeeeh!! ngoja nicheke mie. kama una uhakika wa kupata maziwa kufuga ng'ombe ni kihere here chako(wahenga walinena)
waambie wasilalamike ndio uanaume huo,wasisahau na kula vizuri na kufanya mazoezi wajenge heshima na kwenye naniliu
una maneno weweee...Ushawahi sikia wanaume wenye pesa wanalalamika kuombwa hela? Hizi kelele za humu za wauza karanga ndo tusipumue..... Mtu ana anzisha thread eti kaombwa buku ten
Mizinga hauepukiki hadi pumzi ya mwisho
Yaaani..hahahaa.Ushawahi sikia wanaume wenye pesa wanalalamika kuombwa hela? Hizi kelele za humu za wauza karanga ndo tusipumue..... Mtu ana anzisha thread eti kaombwa buku ten
Mizinga hauepukiki hadi pumzi ya mwisho
Aibu ni kwa hao wanaume wanaolialia kisa wanahudumia, kama hawako tayari kuhudumia basi wasitongoze,walisema" Maji ukiyavulia nguo huna budi kuyaoga"
Yani tuokote mabaki majaani tukalele kuku ili tujihudumie na wao aje kibembea free? No thank you madame.
Kama wamekutuma waambie hivi "sweat for sweet men"

Waliambiwa watakula kwa jasho lao,si chakula peke yake...hata vile vinavyomeza wenzao.
Mzinga mzinga tu, mzinga wenye certificate mzinga wenye PhD yote ni mizingahahaha ila isiwe vizinga vyakipumbavu
Pale mwanamme anapojiona jabali kwa kuhonga, sio akili hiyo ni ujuha, mwisho wanawapiga chini mnaanza kuwachoma visu kisa eti kakulia pesa.aisee mizinga haiwez isha..tatizo mwanaume anafanya kazi ya kuingiza jero halafu anataka mademu wakali! jifunze nawe kuhudumia km wenzio waliomfanya akawa mkali! halafu hizi mambo za kulia lia mizinga kwa wanaume humu ndani zikomee!