Habari wanajamvi;
Kuna baadhi ya tabia au mazoea ya mtu ambapo huwa hayakomi hadi mtu ayakane mwenyewe Kisaikolojia.Tabia hizi huwa hata kama mtu huyo akutwe na janga ama hasara katika jambo lile bado hurudia kosa lilelile eithher hadi atokee mtu huyo apewe ushauri na mtu anaemwamini sana ndio ataacha.; Zipo nyingi sana ila hapa ni chache mhimu;
1. TABIA YA KUPENDA VITU USED;
kuna watu wanapenda vitu used maishani mwao mwote,Hata kama mtu huyo umuuzie kwa bei kubwa zaidi ya kipya yeye Hatambui hilo. Hana mazoea ya kuuliza vitu vipya maishani mwake kwa kuamini ni aghali zaidi,Yeye ni kila atakachokuona nacho atakwambia niuzie.
2. TABIA YA KUPENDA WAKE/WAUME ZA WATU;
Kuna baadhi ya watu wanaume kwa wanawake, wao kiiila akipata mwanamke/bwana mpya lazima awe mke au mme wa mtu, yaani atakataa wooote lakini kwa mke/mme wa mtu hachomoi. tena wengine hujinasibu kabisa kwamba, mme wa mtu HASUMBUI, au mke wa mtu HANAGHARAMA n.k
3. MTU WA KUOMBA OMBA;
Kuna watu wao kiila siku vyao haviwatoshi kuanzia january hadi desemba wao ni kuomba/kukopa mwanzo mwisho hata kama wana vipato vikubwa kuliko wanao waomba.
4. KUSIFIA KWAO NI MWIKO,
Kuna baadhi ya watu tabia yao huwa ni KUPINGA, KUPINGA, KUPINGA mwanzo mwisho, hata ukimwambia nini atakubishia tu. watu hawa hata ukimpa nini yaake kwake ni sawa na BURE kabisa.
5. MAJIVUNO NA MISIFA
Kuna watu wanasifa kuliko kawaida, yaani mtu hana kitu lakini atakupiga mkwara huo hatari, kiila akaapo anataka ajulikane na kuogopwa, yeye anajuwa kiila kitu.
6. MCHEZO WA PUNYETO/KUJICHUA
Hii nayo ni hatari sana, ikiingia kwa mtu huwa kama mchezo, yaani kuna watu wanakiri kabisa kwamba yeye akiingia bafuni kosa akute sabuni nzuri tayali tamaa zinamruka, kujizuia kwake Hawezi kabisa,Tena wengine hulfikia hadi kulemaa mkono hupinda kwa mchezo huu.
7. KAURI ZA MATUSI,
Kuna baadhi ya watu hawawezi kusema sentesi ikakamilika pasipo kuweka TUSI, yaani TUSI kwao ni kama MSISITIZO, watu hawa hupata shida sana inapotokea wakapewa nafasi katika jamii kuongea, mara nyingi hushindwa kwa kukosa maneno kwakuwa midomo yao imejaa matusi mwanzo mwisho.
Kama una hizo tabia Ebu jaribu kujirekebisha mwenyewe kisaikolojia fikilia madhara yake kabla ya faida, kuna methali hizi Zitakusaidia,''RAHISI HAIHALISI'';TAMAA MBELE MAUTI NYUMA';"ZIBA MWANYA ASIPITE PANYA",SIFA ZINAUWA'',MAZOEA HUJENGA TABIA;