Je, Ndoa inaweza kuwa tiba ya ugonjwa huu?

Mtaftaji

JF-Expert Member
Nov 12, 2011
207
43
Habari zenu wadau,napenda kutoa shukran zng za dhati kwa Mungu kwa kunitua mzigo alonitwika,nilichojifunza kuwa subira ni ngumu ila inamalipo.

Awali nilitumia madawa ya kienyeji na ya
hospitali bila mafanikio,ila pindi nilipoolewa hii hali ilijitokeza kwa cku kam 5 kwa majuma tofauti na baada ya hapo haijajitokeza
tena mpk leo hii kwa miaka kadhaa. kilichofata ninajiskia hisia
kila napohisi haja ndogo ucngizini.
hapo awali ktk makuzi yng kabla
ya ndoa ckua nikihisi haja ndogo
nyakati za ucku na kila cku iendayo kwa Mungu lzm nikojoe kitandani ila mchana ilikua haijitokezi hali hiyo.

Waganga na wagaguzi walisema
mengi,"Jini mahaba" madaktari nao "it is psychological problem",ilifika hatua mpk nikashauriwa kutumia dawa za uchizi,kuna dokta alinipatia kutoka huko milembe.
Ila mwisho wa siku ckuweza
pata nafuu.Fedheha na aibu ni vitu vilivyokuwa vikila afya ya akili yng.

Nacho kumbuka mama yng mdogo aliwahi kunambia kuwa kuna mtu anamfahamu alipona baada ya kuolewa,ckua nikimuamini nikaic ni faraja tu ananipatia,na ndo lilotokea kwangu.

Muda wa kupata mwenza ulipofika kila nilokua nikimwambia alikua ananikimbia na ndoa inakufa na kinachobaki ni matangazo,mwanaume wa mwisho ambae ni mume wng kwa sasa nilimgusia kua na tatizo na nikawa mgumu kumwambia mwishowe tukaoana nikamwambia ndani ya ndoa na
akakiri c tatizo kwake na maisha yanaendelea na sikutumia dawa yoyote mwishowe najihisi na hisia za haja ndogo nyakati za uck na furaha ya maisha imenirudia na tatizo likatoweka na thubutu kusema nimepona kimiujiza maana ckutumia dawa yeyote.

Special tx kwa Wale wote walonifariji pindi nilipoeka post yng mwaka 2011.
Swali nalojiuliza bila majibu Je Ndoa ni tiba kwa wenye matatizo haya?
 

Attachments

  • Screenshot_2016-05-01-09-02-54.png
    Screenshot_2016-05-01-09-02-54.png
    21.2 KB · Views: 71
Pole sana kwa hayo matatizo yalowahi kukupata, natumai sasa uko vzr sifa na utukufu mpe Mungu.
Baraka ya ndoa imeambatana na uponyaji, kamtolee Mungu shukrani.
 
Pole sana kwa hayo matatizo yalowahi kukupata, natumai sasa uko vzr sifa na utukufu mpe Mungu.
Baraka ya ndoa imeambatana na uponyaji, kamtolee Mungu shukrani.
Kwakweli,Ahsante,kila nikitoa sadaka naona haitoshi,nilichoamua nikumfurahisha kwa ibada zisizo na kikomo na kumtendea wema uyu Mume nilobarikiwa.
 
Kwakweli,Ahsante,kila nikitoa sadaka naona haitoshi,nilichoamua nikumfurahisha kwa ibada zisizo na kikomo na kumtendea wema uyu Mume nilobarikiwa.


sasa umuheshimu na kumridhisha my husband wako...sifa kiuno mamaaaa
 
Kwakweli,Ahsante,kila nikitoa sadaka naona haitoshi,nilichoamua nikumfurahisha kwa ibada zisizo na kikomo na kumtendea wema uyu Mume nilobarikiwa.
Hakika ww ni mke mwema, endelea kumtumainia yeye ktk maisha yako
 
Wanaume wanaokubali mwanamke mwenye tatizo flani tupo wachache sana dunia hii
Uyasemayo ni sahihi,na kama wewe ni
mmoja wao wifi amejiopolea,Mungu kamtunukia kwani adimu watu wa type
izo,Mungu humpa amtakae,akutunze kama mboni.Akufaae kwa dhiki ndiyo rafiki
 
Back
Top Bottom