Nahisi kufa kufa, naomba mniombee

rammmy

New Member
Apr 14, 2016
2
2
Sijielewi, najiona mkosaji, sifai kuishi kwenye hii dunia. Nasikia sauti inaniambia nijiue ndo itakua heri kwangu. Kuna sauti nyingine inaniambia nitoroke niende mbali nisionekane.

Wakuu nihombeeni huu usiku uishe salama.
 
Fanya maombi sana. Muombe Mungu wako sana. Inawezekana kuna roho inakutafta. Kuna jirani yangu aliwahi kuwa na hali km hiyo. Kuna sauti ilkuwa inamjia ikimtaka ajiue. Mwsho wa siku akanywa sumu kweli. Inasikitisha xana. Fanya maombi kwa Mungu wako naye ni wa rehema atakusaidia.
 
Nakufunika kwa damu ya Yesu.
Nimewahi kuwa na hali kama hiyo. Lakini nilimuomba Mungu na akanisaidia
 
Hilo jambo Linalokutatiza tafuta mtu unaemwamini mshirikishe atakupa wazo jipya.
 
Ukila nyeto halafu ukajipozea na viroba hali kama hiyo huwa inajitokeza mara kwa mara maana unajihisi mkosaji sana na moyo unasononeka sana

Ila kama wewe hukutumia ivo basi nenda tu kwajiran ulale uko maana umo ndani izrael anakuwinda
 
Utakuta muda wenyewe uliobaki nao mchache,still unataka kumaliza mapema subiri kidogo,usipate dhambi ya kujiua nakuombea kwa Muumba akupunguzie muda.
 
Umefanya nini kwani,...ashindwe kujiua waziri wa Kongo kwa kupiga nyeto na dunia nzima tumejua.....fikiria msongo wa mawazo wa huyo wazir....matter of time tu , usichukue uamuzi huo, chilax litapita tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom