Mr mgeni
JF-Expert Member
- Apr 27, 2014
- 1,222
- 804
Huyu Dada kwa kweli naweza nikasema ni wale miongoni mwa wanaojiuza, alifanya hayo yote sababu ya shida alizonazo ukilinganisha na huku tulipo ni mbali na nyumbani.
Aliishi maisha ya tabu sana hadi kufikia kapata ujauzito bila kujua ni nani muhusika alinyanyasika sana kila anaemuomba msaada anamfukuza na kumtolea maneno makali sana, hakua na jinsi alidiriki hadi baadhi ya siku zingine kushinda njaa.
Nakumbuka siku moja alikuja nyumbani nilipo panga na kunieleza mkasa mzima alihali mengine niliyashuhudia kwa macho yangu alifukuzwa kwenye nyumba aliyekuwa akiishi kwa kutokulipa pango hakuwa na pakuelekea!!!
Huruma ilinijia nikajikuta machozi yakitoka, nikamwambia mimi naishi mwenyewe upo tayari kukaa na mimi? Hakuamini maskioni mwake alichokisikia alifurahi mno,
Basi tukawa tunaishi kama mke na mume alipoteza mawazo yote nakuhisi kama yupo peponi.
Kiukweli sisemi uongo mwanaume ni mwanaume tu haiwezekani ulale na mwanamke usimgegede. Nilikuwa nagonga show kama kawaida.
Mimba yake ilipokuwa kubwa nilimshauri aondoke Tanzania nyumbani akajifungue alikataa anadai ananipenda sana hivyo hawezi kuwa mbali na Mimi.
Nilimshawishi akanielewa nilimfanyia utaratibu wa safari na pesa za kumtosha tu akatumie, alifika salama na kujifungua mototo wa kike.
Sasa anataka nimpe jina mtoto akidai huyu mtoto ni wa kwangu nilimkatalia na ikawa mwisho wa mawasiliano Mimi na yeye.
Jana kawasiliana na rafiki yangu anamwambia nikikataa anamuua huyo mtoto na yeye atakuja kunifata tuishi.
Naombeni ushauri ndugu zangu.