Suala la wapenzi kutofanya mapenzi mpaka wafunge ndoa limekuwa ni mtihani haswa

Iceberg9

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
24,891
47,745
Habari za kwenu wadau jf members

Rejea kwenye tittle hapo juu,
zama za kale naamini huu ndiyo hulikuwa utaratibu rasmi na wazee wetu wa zamani waliweza kuwa wavumilivu kwa kutofanya ngono mpaka pale swala la ndoa linapo fanyika na kwa misimamo mikali, siku hizi hakuna swala linaleta utata kama hili tena ugomvi mkubwa ukinyimwa pamoja na imani za dini zetu kushinikiza kuto shiriki tendo mpaka ndoa lakini jambo limekuwa ni gumu, kwa wale wanaojaribu kuweka misingi hii kwa wenza wao dhana ya tusubiri mpaka siku ya ndoa basi linaleta mtafaruku mkubwa tafrani ikitanda katika mahusiano yao na kuchukuliwa kama hapendwi na hata hupelekea kuachana na penzi kuingia dosari, sahivi ndoa nyingi zinafungwa huku tayari bibi harusi ana mtoto/watoto ama wakati wa ndoa anakuwa ana mimba tayari ya miezi tatu nk hili ni dhahiri limetushinda,na kwanini litushinde?

Sababu hasa ya watu wana fail ni hofu ya kuja kuachika kabla hawajifikia kwenye lengo halafu hajala mzigo,au kuona anaibiwa...

Hofu nyingine watu wanaita FERTILITY PRE TEST yani kugegeda kwa malengo kuona hakuna ugumba kati yao wenza kabla ya kuingia kwenye agano la ndoa, ili kuepuka kuwa kwenye familia isiyo na watoto
Ona picha hapo chini naona hii couple walivumiliana mbona bwana harusi dushe limevimba ni nini anawza ni mgegedo, hajawahi pewa kugegeda kwa kipindi chotee cha uchumba, mawazo bwana harusi leo sherehe ikiisha anaenda pewa zawadi ya ushindi K, wangapi humu ndani wanaweza kuwa na subira ya kugegeda mpaka siku mnafunga ndoa, be honest
168d6dcc254eecbc5d97cbc721aa09be.jpg
 
Attachments

  • 1461991157137.jpg
    1461991157137.jpg
    40.1 KB · Views: 585
Unaweza kutaka kujitunza lakini haikupi guarantee huyo mwanaume atakuoa au kutulia hadi ndoa ifike,unamnyima wewe atapewa na mwingine, who knows atapewa nini huko...na values zako utapigwa chini kweupee,ni changamoto
Hahahaha, kwahiyo tukubali kuwa swala hili ni ndoto??? lakini my lady ila nimeshaona couples chache they reach their pre set goals na wanapendana mpaka wivu yani and most of time wapo pamoja after working hours kukwepa vishawishi.... What they only do its just aromance......
 
Too much is at stake nowadays. Sex ikiwa awkward kati yenu, hiyo ndoa itayumba. So ni vyema kuingia ndoani mkiwa mna uhakika, sio kufika huko halafu mkute hakuna chemistry faraghani, wala hamuendani kabisa. Pengine unamuunguza mwenzio na vitu zako.
 
Ndo maana kuna kitu kinaitwa mchepuko yani akigoma huku wewe pigilia kamchepuko huko mambo kwisha
 
Anakunyima wewe wakati anaendelea kutoa huduma kwa wengine mpaka simu moja Kabla ya ndoa.
Tusijenge dhana ya kusadikika kwamba haiwezekani au akikunyima wewe basi anatoa njee, nimeshakutana na wanawake ambao wana msimamo katika swala zima la kuto shiriki tendo,na wanafikia malengo yao, tatizo hapa lipo kwa sisi wanaume... Ila naamini wanawake wanaweza kuwa na subira
 
Hahahaha, kwahiyo tukubali kuwa swala hili ni ndoto??? lakini my lady ila nimeshaona couples chache they reach their pre set goals na wanapendana mpaka wivu yani and most of time wapo pamoja after working hours kukwepa vishawishi.... What they only do its just aromance......
Sio siri ni dhambi, ila kwa mazingira ya uchumba miaka 3 na kuendelea unategemea nini
Afu kuna Ile mtu umjue kabisaaa ukubaliane na mazuri na mabaya
Hongera zao hizo couple kwa kweli, yataka moyo,Mungu atusaidie
 
Ndo maana kuna kitu kinaitwa mchepuko yani akigoma huku wewe pigilia kamchepuko huko mambo kwisha
Mabinti wenye imani kali ya dini kuwabadirisha akili na kumlazimisha mfanye it will take time kama ua not as patient as she is you will lose her, wewe gegeda huko nje kisiri siri lakini yeye atakusubiri tu..
 
Too much is at stake nowadays. Sex ikiwa awkward kati yenu, hiyo ndoa itayumba. So ni vyema kuingia ndoani mkiwa mna uhakika, sio kufika huko halafu mkute hakuna chemistry faraghani, wala hamuendani kabisa. Pengine unamuunguza mwenzio na vitu zako.
Sasa mkuu huku ni kuchezeana kihisia, swala la ku-do pre-marriage kutafuta chemistry hahahaha kwa hiyo utagegeda kila mwanamke kuitafuta aperfect match, usisahau wengi wetu huwa tuna funga ndoa na watu hatujawahi wadhania ila inatokea tu uhitaji wa ndoa tjen kabaaahhh unafunga ndoa do you agree with me????
 
Never been there before, so siwezi sema nakubaliana na wewe. Nachojua ni, sex ni moja ya nguzo muhimu kwenye ndoa, so inabidi iwe perfect.

Faida za kufahamiana kabla, ni nyingi kuliko za kufahamiana huko mbeleni.
 
tatizo kizazi cha sasa hatuna uaminifu wanaume kwa wanawake kwa ivo inapelekea kugegedana bafore marriage hafu tumeendekeza mbele tamaa za mwili, kuvumilia kutofanya ngono kabla ya ndoa tunashindwa lakini tunao uwezo wa kubadilisha hali tukaishi kama wazee wetu walivofanya zamani.
 
Mabinti wenye imani kali ya dini kuwabadirisha akili na kumlazimisha mfanye it will take time kama ua not as patient as she is you will lose her, wewe gegeda huko nje kisiri siri lakini yeye atakusubiri tu..
wacha asubir tu aendelee kunitunzia ila still ntaendelea kubutua nje had tutakavyooana
 
Sio siri ni dhambi, ila kwa mazingira ya uchumba miaka 3 na kuendelea unategemea nini
Afu kuna Ile mtu umjue kabisaaa ukubaliane na mazuri na mabaya
Hongera zao hizo couple kwa kweli, yataka moyo,Mungu atusaidie

My lady mimi binafsi najuwa ugumu wa hili swala tena sana, na mimi ni mfano hai, ngoja nikupe short story yaliyo nikuta mimi kwenye mahusiano,
kwanza mimi niliwahi kuwa na mahusiano na mtu ambaye mtaa mzima waliniuliza nilitumia nini kumpata maana yule binti alikuwa ana misimamo iliyo pitiliza kwa kuwa ni mtu wa dini sana, alinibadirisha mambo mengi sana,na nilimfuata ili tuje kuwa kwenye mahusiano, mikutano ya injili nilikuwa sikosi aisehh maana alikuwa hapendi nikose nilijitahidi kwa kweli, nilifanya yote yeye aliyonisihi ila kwenye SEX nilipata shida sana, na kwa kuwa alinisumbua kumpata sikuhitaji ni m-cheat na mwanamke mwingine nilikubali kutojaribu kuwaza, na kipindi hicho nilikuwa nipo chuo weekend zote nilikuwa nipo nae close muda wote, nilimpenda sana nikawaha namsumbua anipe tunda na nilimuambia she needs to prove kama ananipenda kwa kunipa,

sasa muda wote tukiwa tupo nae nikawa na umia sana maana dushe lilikuwa likisimama tuuuuu na hivi binti alikuwa mzuri na ile hali ya kuwakatalia watu kibao basi mimi nilikuwa nadata kuwa nae geto nilimpenda sana,hapo kichuo chuo nimepanga geto so most of time akawa anakuja kunipikia na kupiga story na kwao walinijua so alikuwa akiwambia yupo kwangu walikuwa hawana shida mama yake nilianza kumjua kwenye mikutano ya injili na ndugu zake wengine, na mama yake alitokea kuniamini sana na kunipenda sana na akamwambia mwanae kijana anakufaa maana ana heshima sana na nimtulivu, sasa kuna siku nilimuweka sawa kwa hali namna ninavyo umia dushe kusimama tuuuu kweli akanionea huruma sana ndo akaniambia tushiriki romanse tu kwa wakati huo kweli tukawa tunashiriki romance uku tukiwa na vyupi tu, tukaenda kwa staili hiyo mwaka mzima mpaka nae akaingia chuo akaja chuo nacho soma mimi basi mapenzi yetu yakawa hot hot kila mtu walitufurahia lakini hakuna aliye juwa kama sipewi mzigo ilikuwa ni siri yetu, nakumbuka ilikuwa siku ya mwaka mpya tulienda kwenye mkesha pale uwanja wa taifa kwajili ya kuliombea taifa tukakesha pale na familia yake yote ilikuwa pale mpaka asubuhi tulipo rudi na hapo ndo akaniambia kuwa namna anavyo nipenda na kusema leo ninakupa mwili wangu ila usije nisaliti maana nimekupa heshima kubwa sana miaka yote hiyo sikupenda kufanya tendo hili kweli alikuwa bikra dah sikuamini hakuna siku niliona ni wa bahati kama siku hiyo ingawa tukawa tunafanya kidogo kidogo mpaka itoke end of the day akawa ana enjoy mapenzi yakanoga mbaya kabisa mimi nikatangulia kumaliza chuo mbaya zaidi namaliza chuo tu na baba yangu mzazi akawa amefariki aisehh hakuna nyakati nilikuwa frustrated kama kipindi kile nilimpenda mshua na alikuwa very supportive nikaanza tafuta kazi ili nitafute changu wakati kipenzi changu yupo chuo nikapata kazi nje ya mkoa na ilikuwa kazi nzuri ukiangalia mama na mdogo wangu pamoja na kipenzi changu walinitegemea kuwa support kwa kiasi fulani ila tatizo likawa umbali na mwenzangu ingawa akawa anakuja kwangu kipindi cha likizo bado ilikuwa haitoshi na hata hivyo mwasiliano yakawa ndo ugomvi wetu ukichanganya na kuwa busy at work yeye akawa hanielewi ikafika mahala akamwambia mama yake sasa hapo sikupenda nikamfokea kwanini mambo yetu amuingize mama na dada zake wakawa wana mjaza ujinga dogo akawa hapokei simu iliniuma sana nikachukua likizo nikaenda kumuona bado akawa hanielewi nilipo rudi kazini yule binti alikuwa frustrated sana sahivi tuna muda hatujawasiliana nilifanya mpango wa kufanya uhamisho hola nilitafuta kazi nyingine hola nimekubali yote.... Basi mambo yako hivyo, kweli ugumu upo kusubiriana mpaka mfunge ndoa... Ila pia linawezekana kwa watu wachache
 
Hilo haliwezekan kwa sasa utandawaz umeharibuj
Mkuu ni utandawazi ama SISI wenyewe, utandawazi hautakiwi utu-control ila sisi tu-control utandawazi, sema ugumu upo mkuu lakini kwanini wachache wanaweza....
 
Never been there before, so siwezi sema nakubaliana na wewe. Nachojua ni, sex ni moja ya nguzo muhimu kwenye ndoa, so inabidi iwe perfect.

Faida za kufahamiana kabla, ni nyingi kuliko za kufahamiana huko mbeleni.
Thats true my brother, ila utakubaliana na mimi kuwa huwa we marry people we dont expect in our life awe ana vigezo vyako ama asio na vigezo vyako kwenye maisha yote uliokuwa nae kwenye uchumba...
 
Back
Top Bottom