moniccca
JF-Expert Member
- Nov 15, 2015
- 2,383
- 3,285
Wadada wenzangu hbr za jpili?
Bilashaka mko poa.
Rejeeni kwenye mada husika.
Nimetafakari kwa kina tatizo linalotukabiri wanawake wengi la kutokuolewa nikapata jibu kuwa sisi wenyewe ndiyo kikwazo, ntatoa sababu.
1.Tunajirahisisha sana kwa wanaume..unakuta mtu anatongozwa saa nne saa nne na nusu ameshamvulia pichu mwanaume mwingine hata hajatongozwa ashajipeleka mwenyew kwa mwanaume akitarajia kuolewa, Nani anaetaka mwanamke asiyejithamini? Mwingine akiambiwa tu nakupenda analainika utadhani maharage ya mbeya kwenye moto wa gesi. Mingine unadhani akibeba mimba ndo ataolewa.
2.Tumejijengea zana ya kutojishulisha hivyo kuwa omba omba, ifahamike kuwa wanawake wengi wanaingia kwenye mahusiano kwa sababu ya ugumu wa maisha si kwa sababu wana upendo wa dhati. Akipewa vijisenti tu analegea mwili wote.
3. (Kutojiamini)Dhana potofu kuwa tukikataa kutoa penzi kabla ya ndoa mahusiano yatavunjika. Hizo ni baadhi ya sababu zinazo tufanya tukose fursa za kuolewa. Ni ukweli usiopinga kivutio kikubwa kwa mwanaume kutaka kuona ni uhitaji wa tendo husika sasa kama anapata kila anapotaka tena kwa ghalama nafuu kwanini akuoe, hajakuita umekuja, hajasikia hamu umeshamvulia nguo unadhani atakuthamini?
Hawezi kukuthamini coz always upo mbele yake as if mmeshafunga ndoa. looh..mtaishia kusikia ndoa redioni msipojitambua.
Tumaweza kubadirika na kujipa thamani tuacha papara za kukimbia uzinzi, tungoje wakati husika ufike. Tutajiongezea thamani.
Asante..ni Mimi mwanamke mwenzenu very expensive lady moniccccccccccca wa MMU.
Karibuni.