Director D
Senior Member
- Feb 24, 2016
- 192
- 229
Mdogo wangu ni Mwanafunzi wa kidato cha nne mwaka huu (2016), Bahati Mbaya Kapatiwa Ujauzito wenye zaidi ya miezi mitatu sasa, Nashindwa kujua namsaidia vipi kwa sababu zifuatazo
1. Ni uzembe na upuuzi wake wa kutojitambua hadi anapata mimba.
2. Mimi sio muumini wa roho za kikatili zinazotoa mimba Yaani kamwe siwezi kuruhusu hilo lifanyike.
3. Napenda aendelee na shule kwani ufaulu wake darasani unaridhisha (Anajitahdi sana), Naombeni ushauri nawezaje kumsaidia kutokana na hili linalomsibu huyu mdogo wangu, namuonea sana huruma kila nikimtazama machozi yananitoka nikikumbuka ndoto zake alizokuwa akinihaidi kuzitimiza.