Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Hebu fikiria uko nyumbani kwako. Umezeeka na una wajukuu. Mkeo kafariki au kakukimbia. Unapata mke mwingine. Anapika chakula. Wageni wamekuja. Mke wako, jamaa zako na wanao wanawakarimu...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Richard Mwenye asili ya Kusadika, alizaliwa wakati mama yake ana miaka 40+, wakati huo mama alikuwa na ajira katika mmoja ya mashirika ya Umoja wa Mataifa, New York. Baada ya kustaafu mama...
5 Reactions
26 Replies
4K Views
Mimi ni kijana umri 32 Nina miaka 2 ktk ndoa sitamani tena maana Niko jela ya ndoa, je nifanyeje kutoka?
2 Reactions
86 Replies
18K Views
Habari zenu, Watu wa MUNGU mimi ni mwalimu wa secondary, nina mke ila hatujafanikiwa kupata mtoto, pia nina fanya masters evening session katika field nyingine na sio education, lengo niondoke...
1 Reactions
147 Replies
12K Views
Zaidi ya maneno ya kumtia moyo kwamba yataisha au atapata mwingine bora au mwache atarudi. Je ni activities gani unafanya rafiki yako akiwa yupo kwenye nyakati ngumu za mawazo ya kuachwa...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
"The First Time Ever I Saw Your Face" The first time ever I saw your face I thought the sun rose in your eyes And the moon and the stars were the gifts you gave To the dark and the endless skies...
2 Reactions
27 Replies
3K Views
Habari ya Jumapili WanaJF wenzangu! Naomba tushee hii light moment pamoja. Kwanza nikiri kuwa mimi nimekuwa mhudhuriaji mzuri sana wa JF na ni miongoni mwa watu waliofaidika sana kutoka kwenye...
1 Reactions
67 Replies
7K Views
Wakuu, Wiki iliyopita nilivyoamka asubuhi, nilikuta chupi ya kike na sidiria vimewekwa kwenye mlango wa geto langu. Nikapotezea kwa kudhani kuwa nguo za jirani zimepeperushwa na upepo zikatua...
3 Reactions
95 Replies
18K Views
Kwa Tanzania asilimia kubwa sana kwa sasa watu wake hawana mapenzi ya dhati kwenye mambo ya mahusiano kuanzia ya wapenzi mpaka ya ndoa. Je, kwa walio tembea nchi mbalimbali mnadhani ni nchi gani...
3 Reactions
100 Replies
9K Views
Sasahivi wanaume wamekuwa waongo kuliko kitu chochote hasa kwa sisi wanaume kwanini unamwambia mwanamke kwamba nitakupa kila kitu unachotaka nikubalie tu ili uone yule msichama akishakubali basi...
1 Reactions
53 Replies
6K Views
Huyu dada alikuwa gf wangu long time kitambo. Katika harakati za maisha tukaja kupotezana, si unajua enzi hizo hakuna mitandao. Sasa mwezi wa 10 mwaka jana tukaja kukutana katika pilika pilika za...
5 Reactions
49 Replies
8K Views
Hivi unajua maana ya neno “engagement?” yaani kile kitendo cha mwanaume kutangaza mbele ya umma jinsi moyo wake ulivyompenda binti fulani na kama alama ya kuthibitisha nia hii ya dhati kijana huyu...
1 Reactions
5 Replies
14K Views
John na Rose walikuwa majirani na walisoma shule moja nchini Kenya, walipendana sana na uhusiano wao ulihama kutoka kwenye urafiki na kuwa mapenzi. Waliahidiana kufunga ndoa, walimaliza shule...
2 Reactions
16 Replies
3K Views
Unapotoka:DAR!! Unasafiri kwenda:DAR!! Unapoishi:DAR!! Ulipozaliwa:DAR!! Unapofanyia kazi:DAR! Zis iz amazing!
0 Reactions
34 Replies
5K Views
C
3 Reactions
39 Replies
6K Views
Kimsingi mambo yamepamba moto,hakukaliki kichwa kinapasha joto. Kumbe kidume amedaka simu ya mke wake akaanza kuchat na mimi story kali za yale mambo yetu,na mimi nikafunguka balaa nikijua nachat...
6 Reactions
158 Replies
19K Views
SPECIAL KWA WADADA Umepata Bwana, Umempenda Kweli kweli na Umemlalamikia Sana Eti Kwanini Hakupeleki Kwa Wazazi Wake Kukutambulisha, Jamaa Akagoma Sana mwishowe akaona isiwe Kesi Akakupeleka...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Heshima kwenu wakuu kitambo nilipotea ila nimerudi Nampenda lakini nataka nimuache kila nikifikiria kumuacha ananifanyia jambo zuri nasahau mawazo ya kumuwacha,najikuta najiona mjinga nipeni...
1 Reactions
45 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…