Nimekuta chupi na sidiria mlangoni kwangu, mara mbili

Simplicity.

JF-Expert Member
Dec 19, 2013
2,636
1,661
Wakuu,

Wiki iliyopita nilivyoamka asubuhi, nilikuta chupi ya kike na sidiria vimewekwa kwenye mlango wa geto langu. Nikapotezea kwa kudhani kuwa nguo za jirani zimepeperushwa na upepo zikatua hapo.

Sasa leo naamka asubuhi, nakutana na pair nyingine ya nguo za aina hiyohiyo. Hapo mlangoni kwangu, majirani wanaotoka kwenye vyumba au apartments zao wanapaona tu, maana wanapitia hapo, nao naona wamekausha, sijui wanalichukuliaje hilo maana sijaoa wala sijawa na mwanamke hizo siku za haya matukio, mimi pia nimenyamaza ili mchawi ajilete mwenyewe.

Wakuu, itakuwa ni kitu gani? Ni uchawi kuna mtu ananitega?

Nataka kuwaita majirani na kuwauliza, niwakusanye au nipotezee?

Ushauri mwingine wowote?

Updates:

Watu wengi sana wamedai angalau kutupia picha za vyupi, nimesita kwanza kwani huwezi kujua ya mbeleni, isipokuwa chupi moja inafanana na ile ndogo kabisa ya kijanikijani, na nyingine infanana na ile imeingia matakoni lakini yenyewe ilikuwa nyekundu (utaiona kuanzia dakika ya 5:14):

Sidiria ni zile za kufunika ncha.

Hata hivyo katika kuserach angalau picha zinazofanana na za zile chupi, nimeishia kujua kumbe chura asili yake ni hapa
 
Acha woga kama kuna kamba za kuanikia jua zinaanguka toka kwa kamba.

Hapo kama hakuna kamba hapo Karibu zinaweka na mtu kusudi hizo ukizikuta unachoma moto tu wala huiti mtu
 
Wasiwsi wangu mkubwa ni majirani kuniona mimi mshirikiana wa kuvutia wadada kwa viwalo vyao au wadada kuniona nawapanua sana, naanza kupata picha, zaweza kuwa njama za washindani hizi, maana kuna jamaa huwa linaniona kama mademu wa hilo eneo wote ni wangu, kumbe mimi ni socializer tu.
 
Mimi mwenyewe nina hamu kumjua kama yupo kweli, nipige kambi usiku kucha wiki 2 mfululizo au nifanyeje? Yaani nilinde usiku kucha, 2 weeks, adhabu sasa hii.
hiv inamaan unataka kuniambia kwamba hukjui anayeweka nguo za ndan hapa mlangon kwako
 
Back
Top Bottom