S.N.Jilala
JF-Expert Member
- Jan 26, 2012
- 540
- 507
Kwa Tanzania asilimia kubwa sana kwa sasa watu wake hawana mapenzi ya dhati kwenye mambo ya mahusiano kuanzia ya wapenzi mpaka ya ndoa.
Je, kwa walio tembea nchi mbalimbali mnadhani ni nchi gani watu wake kwa asilimia kubwa ukianzisha mahusiano huwa na upendo wa dhati kabisa kwa walio wengi au kwa asilimia kubwa?
Wadadisi wa maswala ya mahusiano eti husemi Mapenzi ya dhati kabisa yalianzia UINGEREZA, yakaenda hayo mpaka yakafika INDIA hapo yalifanyiwa mbwembwe nyingi na kuboreshwa kwa ubora wa hali ya juu yaani MODIFICATION kama siyo LOVE INNOVATION, yalipofika Bara la Afrika yalikanyagwa vibaya mno na KUUWAWA kabisa.