MIGUGO
JF-Expert Member
- Dec 3, 2011
- 2,137
- 3,931
Zaidi ya maneno ya kumtia moyo kwamba yataisha au atapata mwingine bora au mwache atarudi.
Je ni activities gani unafanya rafiki yako akiwa yupo kwenye nyakati ngumu za mawazo ya kuachwa?
Utamwacha ajinyonge?
Au awe mlevi?
Ajifungie ndani na kulia kila siku?
Au aache kazi na kusafiri mbali?
Amuwinde ex wake kutaka kumuua?
Au aanze kutembea na wapenzi mbalimbali?
Wana jf utafanya nn kwa rafiki/mshkaji/swaiba yule mloshibana?