Matingi litikiti
Member
- Apr 26, 2016
- 64
- 25
Napenda kuwapa pole kwa wote ambao huenda mchana huu unawapita Deshi bila kula.
Kikubwa ni kutaka mawazo yenu kuhusu huyu mke wangu. Ni mwaka wa 3 sasa anafanya biashara ya nje yaani Kenya na Msumbiji( Nguo za kike kama Vitenge na Misuli ) ila sioni tofauti ya kimaisha na kiuchumi. Sasa nikimwambia abadili biashara hataki.
Sasa mimi sioni faida yake yeye anaiona. Vipi mnanishauri nini ili mke wangu anisikilize na aache hii biashara? Au kuna vijeba vinampetipeti huko uzunguni?