Mpenzi wa rafiki yangu ananipenda

Kama unamheshimu rafiki yako kaa mbali na huyo mwanamke, ukiendekeza kichwa cha chini si muda mrefu atamtongoza rafiki yako mwingine utafanya nini?
 
Kwani wewe huna demu??

Utajisiaje kama demu wako pia anamtongoza jamaa yako na jamaa yako anakaribia kumpenda????
 
ivi maana ya demu ni ipi haswa hapa???? hawara, mke, mchepuko, mchumba, kipozeo n.k?????????? alfu na we mvulana kwani huig wasichana wanaokukataaga pindi unapowatongoza???? kwan uliambiwa ukitongozwa lazima utoe jb la NDIO?????? pongezi za dada huyo kakuona we legelege sana wala hufai kuwa mume ila kipozeo pindi watakapo gombana na jamaa yako!.
 
habarini...natongozwa na demu wa rafiki yangu sana...naona nakaribia kumpenda the same...itakuaje jamaa akijua? au nimchunie?
Ivi kwanini Hujipendi? Mwanamke akianza kukutongoza hasa wa rafiki yako ujue amekuona wewe tule tugawe,na bila hiyana wana aibu unasema unakaribia kumpenda ivi wewe ni rafiki wa kweli? ebu jipatilize usijitoe fahamu,ebu ukiwa peke yako
fikiria au kuku rahisishia mawazo vuta picha rafiki yako ana kuchukulia demu wako utajisikiaje? jibu unalo wenyewe..
 
habarini...natongozwa na demu wa rafiki yangu sana...naona nakaribia kumpenda the same...itakuaje jamaa akijua? au nimchunie?
Acha uoga kijana piga show ya kibabe kimya kimya maana ukimuacha utakuja kusikia kuna mjinga mjinga ndio anachapa bora uchape wewe kwanza ni wa rafiki yako pili huyo ni demu sio mke au kama vipi nipe namba yake
 
Gegeda ww acha uoga unafikir huyo mchiz wako akitakiwa na dem wako atamwacha thubutuuu...
 
hivi maana ya urafiki ni nini?? ukielewa hili utamuheshimu demu wa rafikiyo....ila nna mashaka na umri wako,,, siku ukiguswa uje useme pia...
 
Interesting...
halmashauri ya kichwa chako imesha kaa na kuamua then unakuja kuomba ushauri? seriously!!
 
Back
Top Bottom