Naombeni msaada, nifanyeje?

Naombeni msaada, nifanyeje?

solja njeree

Senior Member
Joined
Aug 27, 2013
Posts
175
Reaction score
95
Nihivi. Nina anko wangu aliniita nije uku mwanza kumsaidia biashara zake kwa makubaliano ya kunilipa kiasi fulan kila mwezi. Nilishukia kwake nilimkuta ana sofa mbili kitanda na jaba LA maji tu. Akaniambia nikae hapo geto yy ataondoka nikakubali hela nilio kua napata kila mwezi nilinunua aset za ndani mwaka wapili umeisha anskuja anafunga hesabu anaondoka mwaka wa NNE sasa nikamwambia aje afanye hesabu zake nimkabiz kazi mm nataka kupumzika kidogo sikutaka kuendelea kufanya nae kazi maana sikuana kubaliana nae baadh ya vitu.

Kweli akaja geto pale nilisha hama nikapanga nyumba nzima maana nisha kua nimenunua vitu vingi vya ndani . akasema nitakaa hapa na we we nikasema poa. Tumekaa nikatafta kitu kingine nifanye nje na kwake nikapata ikawa tunakutana tu jioni nyumbani. Juzi kuna feniture yangu moja sikuiona nikaikuta kwa jirani tena iko nje nikaichukua nikairudisha ndani jirani kaja moto akaniambia aliuziwa na anko . nikamwambia anko mbona unauza bila kunijulisha?

Anasema vitu vyote ni vyake mm sikuja na kitu anadai siwezi kuondoa kitu hela zote nilizo nunulia vitu nizake navitu nivyake. Nikashangaa maana mshahara wangu nilikua napata je sikua naufanyia kitu haelewi. Hesabu alikua anafunga na alipo kuja alishinda siku mbili akiangalia hesabu kama ziko sawa . mapolisi wote APA nimarafki zake yan ata nikiwaza kwenda uko nachoka . hapa nimebak sina kitu nanina vitu vingi tuu APA ndani. Navile vyake alivyo viacha vipo vyote.

Naombeni msaada kama kuna mtu wa usala umu pia naomba msaada wako.
 
Kuwa mpole,,,halafu siku moja uende ubebe vitu vyako na gari utokomee mbali
kimyakimya...usigombane nae hadharani
ili watu wajue uko nae bado hata wakikuona unakusanya vitu wasiulize
 
mshitaki kwa mama ako,km hutaki ugomvi na ndugu yako achana nae katafute rasmi vyako.mungu atakua upande wako
 
Tafuta nyumba pengine gama kimya kimya...

Au la badilisha vitasa vyitr vya nyumba yako na huyo mjomba mtiririshe

Mwisho usisahau kumripoti kwa dada yake
 
Kuwa mpole,,,halafu siku moja uende ubebe vitu vyako na gari utokomee mbali
kimyakimya...usigombane nae hadharani
ili watu wajue uko nae bado hata wakikuona unakusanya vitu wasiulize
Ata mm nimepanga hivyo sasa kuna vingine viko anako lala
 
Mtegeshee akiwa hayupo hamisha vitu vyote kabisa halafu badili na kufuli la mlango akija alale nje hafai kabisa huyo anko
 
Chakufanya tafuta,nyumba kimya kimya ukipata tulia Kama vile hauna Shida ya kuhama,pitia risiti Zako ulizonunulia vitu,tuwe na utamaduni wa kuweka risiti hata Kama ni sofa.
Siku akiondoka beba kilicho chako ondoka utokomee,najua atakutafuta akiwa na police kwamba umemuibia vitu vya Ndani,risiti ndio sitakulinda kwamba zile ni Mali Zako .
Pole Sana mkuu.
 
Kuliko kuwa na ndugu jamii hii, heri nikose. Ndugu Asiyependa maendeleo yangu wa nini sasa! Dawa yake ni kumkimbia kimya kimya asikutafutie msala ukajikuta hela. Hata ukiwa mpole ukaendelea kusimamia shughuli yake lazima atakufuata fuata tu.
 
Kutafuta nyumba na kuondoka hapo hakutakusaidia, sanasana utaonekana mwizi na maneno yatakuwa mengi sana baadae
Lakufanya ni kuongea nae kikubwa, wewe ushakuwa mzoefu wa biashara tayar mwambie atafute bwanamdogo mwingine aje asimamie hiyo business wewe utamuelekeza na utamsaidia anko wako kuisimamia hiyo business
Mpe mawazo zaidi ni namna gani atapata hela aone mchango wako kwenye maendeleo yako, hapo mtakuwa karibu kinoma
Kikubwa usishirikiane nae kbs kwenye mtaji, wewe mpe mawazo na kumsaidia kwenye issue ndogondogo kwenye biashara zake
 
Pole sana,kuna binadamu wengine ubinadamu hawana mpaka hapo alipofikia na kusema hayo maneno huyo ameshatokwa na imani na chochote anaweza kukufanyia bila kujuta,chamsingi muepuke mbali,hama hiyo sehemu panga kwengine
nunua hata godoro ulale chini lakini vitu mpe,kama umeandikiwa kupata utapata tuu..
haina haja yakutafuta shari wakati salama ipo wacha ashinde yeye mwisho wa siku atajiona mjinga..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom