Kati ya wanaume na wanawake ni nani aliyezidi kuporomoka kimaadili?

Basham

JF-Expert Member
Oct 10, 2014
743
433
Peace been upon you all,

Kama binadamu tuna mipaka ya kimaadili kulingana na mila na desturi za kiafrika. Lakini kubwa zaidi kulingana na imani zetu.

Tumeingia karne na millennium nyingine yenye improvement ya hali ya juu ya sayansi and Tech, dunia imekua kama kijiji aliyeko USA kama yuko Rocky city
kutokana na hilo maadili yetu yanabadlika sana kila kukicha kwa kuiga mila za Western Country.

Kwa mtazamo wako kati ya Wanawake na wanaume ni nani alievuka mipaka na kwanini.

Kwa kizazi cha sasa wa kulaumiwa ni kati ya mzazi, jamii na vijana wa kileo
 
Wote,

Nasema kwa sababu huwez kubadilika bila kuwepo na kitu kinachokubadilisha kwa mfano. Kwann nataka kusuka nywele za bandia au wanawake kutaka kuwa weup ni kwasababu wapo wanaume wanaovutiwa na vitu hivo. Kama wangekuwa hawavutiw bas wanaume wasingeacha kukodolea macho wanawake wanaovaa nguo fupi.

Karibuni. Asante
 
Wanaume wameporomoka kimaadili sana nikichukulia upande mmoja tu Wa idadi ya vijana wanaojiingiza katika vitendo vya kishoga kwa sasa vilivyoshamiri, Vijana wakiume kuvaa hereni,Kusuka nywele,Kujichubua aka kunywa maji mengi, Vijana wa kiume kukataa kufanya kazi na kugeuka kuwa wanatunzwa na wanawake...list ni ndefu mno..
 
Bado kazi ipo maadil ya yanaporomoka kila uchwao sijui watoto wetu wataridhi nin ikiwa na baba nae anataka kulelewa.
 
Hakuna mwenye afadhali kati ya Kuporomoka kwa maadili kwa wanawake na wanaume.
Ni mistari sambamba,haiachani.
 
Wote,

Nasema kwa sababu huwez kubadilika bila kuwepo na kitu kinachokubadilisha kwa mfano. Kwann nataka kusuka nywele za bandia au wanawake kutaka kuwa weup ni kwasababu wapo wanaume wanaovutiwa na vitu hivo. Kama wangekuwa hawavutiw bas wanaume wasingeacha kukodolea macho wanawake wanaovaa nguo fupi.

Karibuni. Asante
Nikurudishe nyuma kidogo tunaambiwa kwamba Adam alidanganywa na Hawa/Eva Wakala tunda la mti waliokatazwa na Mwenyezi mungu hauoni kwamba kujiremba kwa wanaweka ni kuwatega wanaume.
 
Bado kazi ipo maadil ya yanaporomoka kila uchwao sijui watoto wetu wataridhi nin ikiwa na baba nae anataka kulelewa.
Wazazi wamesahau wajibu wao wa kulea watoto kulingana na Maadili ya kikwetuu or kulingana na imani zetu bali wanakiza kulingana na dunia
 
Kwa hyo unataka kusemaje?? Kwamba maadil yanaporomoshwa na wanawake au? Siwez kukubaliana na wew hata kidogo isitoshe mim ni mwanamke na kujiremba ni hulka yang kama ulivyokwisha kusema ni PAMBO. Zle zama za zaman zaman za mama zetu kusuka twende kilion zmepitwa na wakati so tunaenda na wakat uliopo
 
Nikurudishe nyuma kidogo tunaambiwa kwamba Adam alidanganywa na Hawa/Eva Wakala tunda la mti waliokatazwa na Mwenyezi mungu hauoni kwamba kujiremba kwa wanaweka ni kuwatega wanaume.
Kwahiyo tusijirembe?
 
Kwa hyo unataka kusemaje?? Kwamba maadil yanaporomoshwa na wanawake au? Siwez kukubaliana na wew hata kidogo isitoshe mim ni mwanamke na kujiremba ni hulka yang kama ulivyokwisha kusema ni PAMBO. Zle zama za zaman zaman za mama zetu kusuka twende kilion zmepitwa na wakati so tunaenda na wakat uliopo
Mjirembe sana tuu lakini kwa ajili ya mume wako tuu sio kwa wengine mtapunguza matatizoo
 
Wote aiseee......mana wanawake wanataka kuwa kama wanaume na wanaume wanataka kuwa kama wanawake basi mvurugano tu.
 
Back
Top Bottom