Ebu tuwe wakweli na tutulize akili zetu kuna tendo gani tamu duniani zaidi ya ngono?

Kulala je?

Kula nako je?

Na wapo watakaokuambia kuwa kukata gogo nako kuna raha yake ambayo haielezeki...
Yote nakubali ni mazuri ingawa hilo la kukata gogo inategemeana gogo lenyewe ni gumu kiasi gani. But all in all, hilo la Dumelambegu acha kabisa ni mwisho wa reli. Baadhi ya watu akili hufyatuka kabisa na kurejea baada ya dakika kadhaa au saa nzima kabisa.
 
Ngono au tendo la ndoa halizidi vyote. Mbona watu waacha kufanya wiki,mwezi, mwaka na miaka hawahangaiki kuwa wamekusa utamu wenyewe?

Vitendo vinavyozidi utamu ni hivi:
1. Kulala (kosa siku mbili uone chungu yake)
2. Kula (hasa chakula kiwapo mdomoni)
3. Kunywa (kile moyo unapenda mf maji, juisi, chai)
4. Kunya (kunya katika choo au pori ambako hakuna usumbufu, wa kutakiwa kufanya haraka zamu yangu imefika, wala kitisho cha nyoka ama fisi)
5. Kucheka/kufurahi ( hasa kicheko mbele ya uwapendao)
 
Hii haijalishi wewe umeokoka au swala tano. Ukifanya ngono na umpendae muda muafaka, sehemu muafaka na kwenye eneo muafaka unajisikiaje kwa wale waliobahatika kufanya hivyo?

bora kula bana.sex is nothing when it come to eating.
 
Back
Top Bottom