Naomba nyie wachuchu muache kuendekeza dhiki, mnajishusha sana

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
94,244
122,340
Wasalaam raia,

Nimerudi tena. Leo nakemea hii tabia ya watu..hususan hawa wadada wa mjini wanaopenda kufosi fosi mambo huku wakati hawana nyenzo.

Mtu umenyuka pamba zako kali....unaenda zako kula upepo mwanana wa bahari ya Hindi sehemu kama Mbalamwezi.

Unakutana na mchuchu mnaanza kupiga stori. Sasa, kwa vile labda we si mla vumbi, unakuwa umewiva kuliko wala vumbi walio wengi. Ukweli ni kwamba wala vumbi wengi wamesinyaa sana. Wengine hata kwapa zao hazijawahi kukutana na deodorant achilia mbali antiperspirant deodorant. Teh teh teh....

Sasa wewe hapo umeenda na kapelo yako kali...labda ya Jumpman 23....una iPod yako na PowerBeats2 Wireless za Beats By Dre.

Mnapiga stori za hapa na pale...mara unastukia mwenzio anaanza kukupiga vizinga...sio vya hela bali vya vitu ulivyonavyo.

'Ngabu naomba kofia....kofia yako nzuri kweli nimeipenda'....'NN naomba headphones zako..'.....mara 'NN umepaka pafyumu gani...naiomba'

Huwa nina jibu moja tu kwa vidada vya namna hii....'hapana'. Manake vimezidi kuendekeza dhiki....khaaa.....yaani hata mshipa wa aibu havina?

Kutwa kucha kuomba omba tu....kwa nini visiridhike na mitumba na pamba zao feki za Kariakoo?

Nyie wachuchu acheni kuendekeza dhiki. Mnajishusha sana.

And just like that....deuces!!!
 
Kwani unapulizia deodorant za kike hadi wakuombe?Au hizo kofia pia unazovaa niza kike?

Hata mi huwa nashangaa. Mi vitu vyangu vya kiume lakini wachuchu wala vumbi bado wanavipenda. Nadhani ni dhiki tu ndo inapelekea hivyo.

Lakini pia...in all fairness kuna vitu ambavyo ni unisex pia. PowerBeats2 Wireless ni unisex unless labda ziwe na rangi ya pinki....na hata hiyo rangi nayo siku hizi ishakuwa ya jinsia zote.
 
Noted.
 
Back
Top Bottom