Wakijua tunachokitafuta nishtue

mwenyeKitu

JF-Expert Member
Dec 28, 2015
946
771
Huwa natazama jinsi wanawake wanavyoumiza kichwa kutafuta attention ya wanaume mpaka nawaonea huruma. .

Kwa uhalisia hawajui Tunachokitafuta. ..kama kuna mwanamke aliyegundua wanaume tunataka nini nishtue. ..ili ni mpe "Hela" awashtue na wenzake ili waache kuingia "Chaka"
 
Mfano. ..hivi wanapoamua kujichubua kwa mkorogo sijui huwa wanafikiria nini
 
Unakuta kajaza makopo chumbani utafikiri yanaliwa...yaani tabu tupu, hata hawajui mwanaume anataka nini.
 
haya makopo tunanunua wanaume na kuwapa wanawake kama zawadi pale posta na kariakoo tusilalamike,tumsifu yesu kristu
 
Mfano. ..hayo mapoda wanayopaka usoni mpaka wanaonekana katuni... sijui huwa wanafikiria nini
 
Mfano. ..huwa wanafikiria nini kuwa michepuko ya waume za watu ilihali wanawakataa vijana wenzao. ...age ikienda 30's wanaanza kujaa makanisani kusali wapate wanaume wa kuwaoa
 
Hawawezi kugundua kinachatakiwa kwa wanaume kwa sababu hizi
1;huwa wanajipendezesha kwa ku shindana na nafsi zao
2;kushindana wao kwa wao
3;kwa ajili ya wanaume
Ila wangeachana na hiyo sababu ya kwanza na ya pili hapo juu,halafu wakadeal ya sababu ya tatu wangefanikiwa kuzikongo nyoyo za kiume walau kwa asilimia 83
 
Tunakijua mkuu mnachokitafuta japo sio wote na tunapojitahidi kukifanya mnachokitafuta hamtupi ushirikiano ... What a shame
 
Back
Top Bottom