Mwanamke mmoja katika muungano wa milki za kiarabu amepigwa faini nakurudishwa kwao baada ya kupatikana akiingia katika faragha ya mumewe.
Vyombo vya habari vinasema kuwa mwanamke huyo alichukua...
Nina miaka 25, nahitaji mwanaume(sio wa Dar). Awe na miaka 27_32. Asiwe cheusi mangala, aliye tayari anipm
Nb. AWE TAYARI KUPIMA AFYA(HIV/AIDS) na magonjwa mengine
Habari zenu wana MMU bila shaka hamjambo,
Mimi ni mume wa mke mmoja lakini pia sisi tulizaliwa wawili (pacha) wote wakiume, baada ya kutokea matatizo ya kufiwa na wazazi wetu tukiwa na miaka 14...
Huwa nasikia mara nyingi watu wakisema na hata kuimba ni nini. Msisitizo umekuwa kuweka vigezo vya kijumla kwa mwanamke, sijaona kukiwa na msisitizo wa vigezo vya jumla kwa wanaume.
Ninajua kila...
Nimeamua kumuombea mdogo wangu ushauri humu kwa sababu id anayotumia humu ni halisi hivyo hataki kujiexpose.
Iko hivi;
"Nina mpenzi wangu ni mchaga kwa kabila anasoma chuo(udaktari).
Huyu binti...
Mwanamke ni nani? (sio msichana tafadhali)
Mwanamke ni binadamu wa pili kuundwa na Mungu kutokana na ubavu wa Adamu.
Mwanamke ni yule ambae huijua thamani yake angali bado mdogo aitha kwa...
Habari za mchana,
Nimezaa na kijana mmoja ambaye alinitelekeza toka niko mjamzito.Nilimove on na maisha yangu nikalea mimba haadi mtoto akazaliwa,hajawahi hudumia huyu mtoto tangu mimba hadi leo...
Huyu mama ni mtanzania anaishi London wengi tulimzoea kama aunt, alikwenda miaka ya 70 na mume wake kimasomo lakini baada ya hapo wazungu walimpa baba kazi. Wamelea vijana wengi wanaokwenda...
Kajaliwa hekima na busara,hapendi michezo ya kijinga hasa tabia za usaliti.
Mchapa kazi ila ana wivu sana.Toka nimjue ni miaka minne sasa, achilia mbali fujo za hapa na hapa nathubutu kusema ni...
Tumezaliwa mapacha tunaofanana sana kiasi kwamba hata marks zetu darasani zinakaribiana sana.
Tunapendana sana lakini tatizo huyu mdogo wango (Dotto) kila napokuwa na uhusiano na mwanaume na...
Habarini wanajanvi,
Nidhahiri kwamba hili neno siku hizi limekua kama fashion mjini na vijijini na likizidi kukua na kuzoeleka kwa kasi ya ajabu.Michepuko imekuwa kama ni jambo la kawaida kwa...
Diva ze bosi wa clouds nimekuwa nikimsikia akianzisha mada bila kubadili wala kutaja JF kama ndio source.
Mdada huyu mwenye sauti ya kifekero hukopi na story za humu MMU kama mmenotice...
Dunia vituko havijaisha bado,rafiki yangu aliyefunga Ndoa Jana aliamua kuwakomoa wachumba wake wazamani tena walioumiza Moyo wake kwa kumuacha,hao wachumba bado hawajaolewa na walimuacha kwa...
Mwanamke mmoja katika muungano wa milki za kiarabu amepigwa faini na kurudishwa kwao baada ya kupatikana akiingia katika faragha ya mumewe.
Vyombo vya habari vinasema kuwa mwanamke huyo alichukua...