Kinjeketile
JF-Expert Member
- Dec 24, 2013
- 996
- 1,678
Yule aliye tayari au ana dada yake au jirani yake au anamfahamu tu basi aje pm kwa mazungumzo zaidi. Asanteni
Du hapo sijakuelewaNimepimwa hospitali na kuthibitishwa ya kwamba nina matatizo ya uzazi, yaani siwezi kuzaa labda kwa IVF(mishipa ya kusafirisha mbegu za uzazi kutoka kurodani zinakozalishwa kwende kwenye tezi zinazozalisha yale maji maji yanayosafirisha mbegu za uzazi mpaka kwenye mji wa uzazi wa mwanamke zimeziba).