Mke apigwa faini kwa kufungua simu ya mumewe

chinchilla coat

JF-Expert Member
May 16, 2016
5,107
10,968
Mwanamke mmoja katika muungano wa milki za kiarabu amepigwa faini nakurudishwa kwao baada ya kupatikana akiingia katika faragha ya mumewe.

Vyombo vya habari vinasema kuwa mwanamke huyo alichukua na kufungua simu ya mumewe baada ya kumshuku kwamba alikuwa na uhusiano wa kando.

Mumewe alilalamika kwa maafisa wa polisi na mkewe akashtakiwa chini ya sheria ya uhalifu wa mtandaoni, kulingana na chombo cha habari cha Gulf News.

Mwanamke huyo ambaye jina lake lilibanwa na ambaye ni mgeni katika muungano wa milki za kiarabu alipigwa faini ya pauni 28,000.

Alikiri mahakamani kwamba aliifungua simu ya mumewe bila ya ruhusa na kuzituma picha katika simu yake wakili wake aliiambia Gulf News.

Wakili huyo Eman Sabt,alisema kwamba wanandoa hao walikuwa na umri wa miaka ya 30 na wenye asili ya kiarabu,lakini hakutoa maelezo zaidi.
 
Mwanamke apigwa fain karibu million 84 taslim za kitanzania kisa kufungua simu ya mumewe tu bila ya ruhusa eti nayo ni cybercrime.

=============================

Mke apigwa faini kwa kufungua simu ya mumewe
130717163110_simu_tanzania_640x360_bbc.jpg

Mwanamke mmoja katika muungano wa milki za kiarabu amepigwa faini na kurudishwa kwao baada ya kupatikana akiingia katika faragha ya mumewe.

Vyombo vya habari vinasema kuwa mwanamke huyo alichukua na kufungua simu ya mumewe baada ya kumshuku kwamba alikuwa na uhusiano wa kando.

Mumewe alilalamika kwa maafisa wa polisi na mkewe akashtakiwa chini ya sheria ya uhalifu wa mtandaoni, kulingana na chombo cha habari cha Gulf News.

Mwanamke huyo ambaye jina lake lilibanwa na ambaye ni mgeni katika muungano wa milki za kiarabu alipigwa faini ya pauni 28,000.

Alikiri mahakamani kwamba aliifungua simu ya mumewe bila ya ruhusa na kuzituma picha katika simu yake wakili wake aliiambia Gulf News.

Wakili huyo Eman Sabt,alisema kwamba wanandoa hao walikuwa na umri wa miaka ya 30 na wenye asili ya kiarabu,lakini hakutoa maelezo zaidi.

Chanzo: BBC
 
Wanawake acheni kuchunguza Simu za waume zenu, ni kuingilia faragha ya mtu.
-~~~~
BBC
Mwanamke mmoja katika muungano wa milki za kiarabu
amepigwa faini na kurudishwa kwao baada ya kupatikana
akiingia katika faragha ya mumewe.
Vyombo vya habari vinasema kuwa mwanamke huyo
alichukua na kufungua simu ya mumewe baada ya kumshuku
kwamba alikuwa na uhusiano wa kando.
Mumewe alilalamika kwa maafisa wa polisi na mkewe
akashtakiwa chini ya sheria ya uhalifu wa mtandaoni,
kulingana na chombo cha habari cha Gulf News.
Mwanamke huyo ambaye jina lake lilibanwa na ambaye ni
mgeni katika muungano wa milki za kiarabu alipigwa faini ya
pauni 28,000.
Alikiri mahakamani kwamba aliifungua simu ya mumewe bila
ya ruhusa na kuzituma picha katika simu yake wakili wake
aliiambia Gulf News.
Wakili huyo Eman Sabt,alisema kwamba wanandoa hao
walikuwa na umri wa miaka ya 30 na wenye asili ya
kiarabu,lakini hakutoa maelezo zaidi.
 
Mmh bora nione yaliyomo yamo
Binti mzuri kama wewe hupaswi kuwa na tabia mbaya, kitu msichokijuwa wanawake wengi na ninakujurisha ujuwe ni kwamba si wanaume wote wana mambo ya michepuko kwenye simu zao bali simu zina private conversation zetu ambazo hatupendi hata mke azione, ni non of ur business.

I repeat ni privacy zetu na siyo mambo ya michepuko, pamoja kwamba mke ndio mwandani wako lakini si kila kitu akione mke. Kama wewe ni mtoto mzuri utakuwa umenielewa.

Mwanaum

Mwanaume anapokuowa tafsiri yake ni moja tu wewe ndio wa thamani kwake kuliko wanawake wote na kumbuka kuna wanawake zaidi ya billion 3, amekuchaguwa wewe, Jiamini.
 
Nimekuelewa,nashkuru shemeji yako hana hayo mambo ya kubania cm yake....

Hii kitu nadhani wote mkiwa na mtazamo mmoja inapendeza zaidi,kumwacha mwenzio awe huru na cm ama lolote linalokuhusu linaongeza ukaribu zaidi.

Ila utakapoanza kusema nina privacy zangu hapo ni kasheshe sasa,kuliko niwe na mtu tusiepeana uhuru kwa kisingizio cha privacy zangu ni heri niwe single jamani lols...

Simaanishi kwamba uchukue cm ya mwenzio kwa nia ya kumpekua la hasha! Ni ule uhuru tu kuondoa dhana kwamba hii ni cm yangu heshimu privacy zangu,wote vision yetu inatakiwa kua moja. Kua huru na mimi niwe huru na wewe badala ya kusema changu/yangu iwe yetu/vyetu. Nisiwe na cha kumficha nae asiwe na cha kunificha.
 
Mimi simu yangu sasa hivi ina password sitaki ujinga usio sababu, unamuachia mtu uhuru wa simu yako unakuta anapekuwa conversation zako na watu tofauti hii yote ya nini? Big no kama hayo ndio mapenzi mimi yamenishinda kabisa.
 
Back
Top Bottom