Mwanamke Vs Msichana

mwalimu277

Member
Apr 14, 2016
18
54
Mwanamke ni nani? (sio msichana tafadhali)

Mwanamke ni binadamu wa pili kuundwa na Mungu kutokana na ubavu wa Adamu.

Mwanamke ni yule ambae huijua thamani yake angali bado mdogo aitha kwa kufundishwa na wazazi wake au kwa utashi wake binafsi.

Mwanamke ameumbiwa mwanaume mmoja tu, mwanamke hatakiwi kuwa na mwanaume zaidi ya mmoja, hutulia na mwanaume mmoja hata pale mahusiano yake yasipoenda sawia, husubiri muda muafaka wa kupata mwanaume atakaempenda na sio kuwapanga foleni.

~ Hujua thamani ya mume wake na nafasi yake ya usaidizi kwa mwanaume wake.

~ Tumbo lake la uzazi li tayari kubeba mimba, nyonga zake zi tayari kupokea kashikashi za uchungu na kujifungua, Mikono yake na moyo wake u tayari kulea.

~ Humnyonyesha mwanae na si kumpa maziwa ya kopo akihofia kuharibu maziwa yake.

~ Hufanya kazi zote za nyumbani, ikiwemo na kumhudumia mumewe.

~ Kwake tendo la ndoa ni hisia zaidi na hulifurahia afanyapo na yule anae mpenda na sio zawadi kwa vile amefanyiwa jambo fulani na mwanaume yeyote.

Wasichana huwa hivi....

~ Wamewapanga foleni wanaume, wanaume za watu pamoja na wavulana kutoka Kimara mwisho mpaka posta mpya.

~ Hawana muda wa kuwaza future, wao ni kuponda raha kufa kwaja.

~ Kucha zao zina thamani, kuliko hata nguo zao za ndani.

~ Kwao mwanaume ni kitega uchumi swadakta kabisa, ambacho kinahitaji uwekezaji wa mwili wao.

~ Hufanya ngono kwa kutegemea mrejesho wa pesa.

~ Hutumia muda wa dakika mbili kuoga lakini hutumia lisaa lizima katika kujiremba na kujipiga picha nzuri ya kuweka Instagramu.

~ Miaka ikikatika na akifikiasha umri wa miaka 30+ na bado bila bila, husema anahitaji mtoto tu na hana haja ya mume, lakini akiwa mwenyewe chumbani kwake, anajijua na nafsi yake jinsi anavyotamani maisha mema ya ndoa.

~ Utetezi wao mkubwa wao husema ndoa kitu gani, watu wanaoana leo na wanaachana kesho, pasina kujua kwamba Ndoa inahitaji msingi imara ikiwemo na uvumilivu na Mungu juu ya vyote.

Ni vigumu sana kushindana na asili, kuna wakti utafika na kusema bora ningefanya hivi. Amua njia ile iliyo sahihi ambayo kwayo unajiona hutakua na majuto nayo hapo baadae.

Siku zote kuna manufaa katika kusubiri, ila kuna majuto mengi katika kukurupuka.

Kwa jinsia ya kike: Vipi wewe ni msichana ama mwanamke?
 
Nimekupenda bure. Asante kwa kunielimisha .
 
Endelea kuwapa maarifa hawa dada zetu maana wengine hujiharibia mahusiano au kujiangamiza kwa kukosa MAARIFA. MAARIFA JAMANI MAARIFA AYATAFUTAYE ANA AKILI.
 
Wasichana huwa hivi....

~ Wamewapanga foleni wanaume, wanaume za watu pamoja na wavulana kutoka Kimara mwisho mpaka posta mpya.

~ Hawana muda wa kuwaza future, wao ni kuponda raha kufa kwaja.

~ Kucha zao zina thamani, kuliko hata nguo zao za ndani.

~ Kwao mwanaume ni kitega uchumi swadakta kabisa, ambacho kinahitaji uwekezaji wa mwili wao.

~ Hufanya ngono kwa kutegemea mrejesho wa pesa.

~ Hutumia muda wa dakika mbili kuoga lakini hutumia lisaa lizima katika kujiremba na kujipiga picha nzuri ya kuweka Instagramu.

~ Miaka ikikatika na akifikiasha umri wa miaka 30+ na bado bila bila, husema anahitaji mtoto tu na hana haja ya mume, lakini akiwa mwenyewe chumbani kwake, anajijua na nafsi yake jinsi anavyotamani maisha mema ya ndoa.

~ Utetezi wao mkubwa wao husema ndoa kitu gani, watu wanaoana leo na wanaachana kesho, pasina kujua kwamba Ndoa inahitaji msingi imara ikiwemo na uvumilivu na Mungu juu ya vyote.
Duh ngoja waje?!!! #TeamNofreeP
 
Back
Top Bottom