Amesema 25 sio 22 wacha kukurupuka, kwani hawaoni wanafunzi wenzie mpaka atangaze umri anaoutaka, kwani hakuna wanafunzi wenye mika 35-45 kama wewe hauna vigezo basi usimvunje moyo mtoto wa watu.22 means umezaliwa 94, bado mdogo wewe tafuta wanafunzi wenzako kwanza uijue vizuri dunia, usijione umekua mdogo wangu waume za watu wa nini
Aliekwambi anatafuta waume za watu nani? Soma vizuri kichwa cha habari ukielewe ndo ujibu22 means umezaliwa 94, bado mdogo wewe tafuta wanafunzi wenzako kwanza uijue vizuri dunia, usijione umekua mdogo wangu waume za watu wa nini
dada vipi mbona mkali, mpo wengi kumbeAmesem Amesema 25 sio 22 wacha kukurupuka, kwani hawaoni wanafunzi wenzie mpaka atangaze umri anaoutaka, kwani hakuna wanafunzi wenye mika 35-45 kama wewe hauna vigezo basi usimvunje moyo mtoto wa watu.
Amekuambia anataka pesa ama umri alioutaja hapo!? Hivi nyie binadamu mtaheshimu lini fikra za wezenu?Nakushauri kwanza umtafute Mungu vyema atakupatia mume anayekufaa! Huko inbox matapeli wapo, tena wengi tu, na wengine watakufuata watakudanganya na kukuacha! Yawezekana unamtaka wa umli huyo ukitarajia kuwa atakuwa na hela nyingi na maisha mazuri, penginene yawezekana isiwe sahihi. Ungeweka hata kuanzia 28 ingefaa zaidi.
Kikubwa mtafute kwanza Mungu na mengine yatakuja automatic
Mbona kasema 25 yrs, halafu huwezi kumuamria mtu tofauti na matakwa yake.22 means umezaliwa 94, bado mdogo wewe tafuta wanafunzi wenzako kwanza uijue vizuri dunia, usijione umekua mdogo wangu waume za watu wa nini
Ndugu unajua huu uzi umeandikwa lini? heri yako uliyekuta uzi ume-editiwa kinoma, sie tuliouona mwanzo wacha tukae kimya tusijeonekana wabaya, kuna mdau juu pale kaona 22 kama mimi, namtakia kila la heri!Mbona kasema 25 yrs, halafu huwezi kumuamria mtu tofauti na matakwa yake.
Atakuwa na sababu ya kumtaka mwanaume mwenye hiyo age.
Nimekuelewa Mkuu, peace.Ndugu unajua huu uzi umeandikwa lini? heri yako uliyekuta uzi ume-editiwa kinoma, sie tuliouona mwanzo wacha tukae kimya tusijeonekana wabaya, kuna mdau juu pale kaona 22 kama mimi, namtakia kila la heri!
Mwambie huyo, mko wengi mko wengi ukute we ndo miongoni mwao unadambaza tu bora aliesema anataka nini, badala wamjibu majibubyakumpa moyo wanamvunja moyo.Mbona kasema 25 yrs, halafu huwezi kumuamria mtu tofauti na matakwa yake.
Atakuwa na sababu ya kumtaka mwanaume mwenye hiyo age.
yaani unataka hata kama kaandika upumbavu tumpe moyo tu, wanawake bhana mnataka sifa hata msokuwa nazo, kwa faida yako tu huo uzi karudia kuandika haukuwa hivyo mwanzoMwambie huyo, mko wengi mko wengi ukute we ndo miongoni mwao unadambaza tu bora aliesema anataka nini, badala wamjibu majibubyakumpa moyo wanamvunja moyo.
Mkuu, umetumia misamiati migumu, kuna maneno sikuyaelewa.Mwambie huyo, mko wengi mko wengi ukute we ndo miongoni mwao unadambaza tu bora aliesema anataka nini, badala wamjibu majibubyakumpa moyo wanamvunja moyo.