MIGUGO
JF-Expert Member
- Dec 3, 2011
- 2,136
- 3,924
Diva ze bosi wa clouds nimekuwa nikimsikia akianzisha mada bila kubadili wala kutaja JF kama ndio source.
Mdada huyu mwenye sauti ya kifekero hukopi na story za humu MMU kama mmenotice.
Nimeamini mawingu yanazidi kushuka.Hawana ubunifu siku hizi.Labda Kama anaingia Na ID tofauti Na akitoa mada Na stories humu Na kuziamishia clouds fm.Ila Nina uhakika anatoa humu.
JF inafanya nini kukabiliana na piracy hii?