Kajaliwa hekima na busara,hapendi michezo ya kijinga hasa tabia za usaliti.
Mchapa kazi ila ana wivu sana.Toka nimjue ni miaka minne sasa, achilia mbali fujo za hapa na hapa nathubutu kusema ni mwema.
Tatizo langu nililolipata naanza kuona mvuto wake unapungua.Akiwa karibu yangu hasa nyakati za mambo yetu yale nahisi steem za mbali sana, tofauti na siku za awali.
Naomba nishauriwe jinsi ya kuimprove feeling zangu coz sipendi kumpoteza wala kumsaliti.