Michepuko: Ni nani wa kulaumiwa?

Markomx

JF-Expert Member
Apr 23, 2016
701
701
Habarini wanajanvi,

Nidhahiri kwamba hili neno siku hizi limekua kama fashion mjini na vijijini na likizidi kukua na kuzoeleka kwa kasi ya ajabu.Michepuko imekuwa kama ni jambo la kawaida kwa jinsia zote,si kwa wana ndoa wala ma single men na women.

Lakini ukisikiliza hoja zote za pande mbili wote huishia kutupiana lawama tu kwa wanaume husema kuwa wanawake wote ni sawa so dont trust women na wa upande wa pili pia wanadai men ndo chanzo coz wanatamaa sana.Huu mpira imefika point umebalance kwenye equillibrum kiasi kwamba imekua michepuko kama swala la kawaida pande zote mbili bila kujali.

Lakini kwa upande wangu naludi kuwatupia lawama jinsia ya kike,kama wangekua wanatongozwa na kukataa na kuendelea kubaki na mtu wake mmoja sidhani kama michepuko ingekuepo urahisi wa kukubali kwa hawa dada zetu ndo wamefanya michepuko imekua dili.

No women no cry
 
habarini wanajanvi

Nidhahiri kwamba hili neno siku hizi limekua kama fashion mjini na vijijini na likizidi kukua na kuzoeleka kwa kasi ya ajabu

michepuko imekua kama ni jambo la kawaida kwa jinsia zote,si kwa wana ndoa wala ma single men na women

lakini ukisikiliza hoja zote za pande mbili wote huishia kutupiana lawama tu kwa wanaume husema kua wanawake wote ni sawa so dont trust women na wa upande wa pili pia wanadai men ndo chanzo coz wanatamaa xana,

huu mpira imefika point umebalance kwenye equillibrum kiasi kwamba imekua michepuko kama swala la kawaida pande zote mbili bila kujali

lakini kwa upande wangu naludi kuwatupia lawama jinsia ya kike,kama wangekua wanatongozwa na kukataa na kuendelea kubaki na mtu wake mmoja sizani kama michepuko ingekuepo.

urahisi wa kukubali kwa hawa dada zetu ndo wamefanya michepuko imekua dili,

no women no cry

???? shauri wanaume waache kutongoza wanawake.
 
suala mtambuka sana hili kijana halina upande mmoja tu kwa mfano ukiletewa kesi ya mwanamke kumtongoza mwanaume unaweza kuamua vipi hiyo kama hoja yako ni hiyo?
 
bahati mbaya huu utamaduni kwa ngozi nyeusi haupo,labda tu assume,ila tu dili na uhalisia kwanza
 
Neno la Bwana lasema "NYAKATI ZA MWISHO UPENDO WA WENGI UTAPOA" yaani siku hizi waaminifu walio wachache wanaumizwa na wanawake au wanaume wasio waaminifu tena wanabezwa kuwa wao ni washamba ndo maana hawawezi kuchepuka lakini HERI YAO WACHUKIAO UZINZI WA NAMNA ZOTE MAANA BWANA ATAWAREHEMU.
 
Jamani msisahau kuwa wanawake wapo wengi sana kuliko wanaume,na kwa kawaida kuna umri ukifika kila mtu anakuwa na mahitaji ya mwili,(ngono),sasa kama wanaume watakomaa na wapenzi/wake zao tu,hawa wanawake tunaoambiwa kuwa wamezidi watahudumiwa na nani?si watanyanyasika sana!!!?
Otherwise badala ya watu kuchepuka chepuka,wapewe ruhusa(iwe sera ya kitaifa) kwamba,kila mwanamke aliye na mume/mpenzi,aangalie mwanamke mwingine anayeweza kuelewana naye,(awe ndugu au rafiki yake,)washee mume,hiyo pengine inaweza kusaidia kupunguza hii michepuko.
Angalizo,kati ya hao wanawake ambao mume anaongezewa,wajihudumie kwa asilimia 60%,na mume awasaidie kwa asilimia 40%!!!
 
Habarini wanajanvi,

Nidhahiri kwamba hili neno siku hizi limekua kama fashion mjini na vijijini na likizidi kukua na kuzoeleka kwa kasi ya ajabu.Michepuko imekuwa kama ni jambo la kawaida kwa jinsia zote,si kwa wana ndoa wala ma single men na women.

Lakini ukisikiliza hoja zote za pande mbili wote huishia kutupiana lawama tu kwa wanaume husema kuwa wanawake wote ni sawa so dont trust women na wa upande wa pili pia wanadai men ndo chanzo coz wanatamaa sana.Huu mpira imefika point umebalance kwenye equillibrum kiasi kwamba imekua michepuko kama swala la kawaida pande zote mbili bila kujali.

Lakini kwa upande wangu naludi kuwatupia lawama jinsia ya kike,kama wangekua wanatongozwa na kukataa na kuendelea kubaki na mtu wake mmoja sidhani kama michepuko ingekuepo urahisi wa kukubali kwa hawa dada zetu ndo wamefanya michepuko imekua dili.

No women no cry
Kwani umesahau UJASIRIAMALI na UKUMALIAMALI au vipi?
 
Jamani msisahau kuwa wanawake wapo wengi sana kuliko wanaume,na kwa kawaida kuna umri ukifika kila mtu anakuwa na mahitaji ya mwili,(ngono),sasa kama wanaume watakomaa na wapenzi/wake zao tu,hawa wanawake tunaoambiwa kuwa wamezidi watahudumiwa na nani?si watanyanyasika sana!!!?
Otherwise badala ya watu kuchepuka chepuka,wapewe ruhusa(iwe sera ya kitaifa) kwamba,kila mwanamke aliye na mume/mpenzi,aangalie mwanamke mwingine anayeweza kuelewana naye,(awe ndugu au rafiki yake,)washee mume,hiyo pengine inaweza kusaidia kupunguza hii michepuko.
Angalizo,kati ya hao wanawake ambao mume anaongezewa,wajihudumie kwa asilimia 60%,na mume awasaidie kwa asilimia 40%!!!
Wenzetu Waisilamu wako sawa kabisa,sababu leo kila mwanaume angeoa wanne basi kusingekuwa na MICHEPUKO .
 
Back
Top Bottom