Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Salaam wana MMU... Nimekuja kwenu najua mtanisaidia kwa jambo hili ni kwamba mimi ni kjana niliyeokoka na ninampenda Yesu effective....lakini kwa sasa nipo advance level kwa miaka mitatu sasa...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Wadau habari za Muda mrefu, Mwaka juzi niliwaletea kisa kilichonitokea fuata link hiyo Harusi ipo palepale ila nabadilisha bibi harusi, naomba niwakumbushe kwa muktasari. Mwaka juzi, siku moja...
31 Reactions
112 Replies
12K Views
Siku hizi swala la mapenzi limekua cheap kiasi kwamba mtu unaweza kujikuta upo kwenye relationa na watu wengi kwa muda mfupi sana ukikutana na mtu wa jinsia tofauti mkabadilishana contacts ndo...
2 Reactions
26 Replies
4K Views
Kwa wanadoa tu: Wandugu nawasalimu wote, kuna jambo moja hapa kwamba Watu ambao kwa sababu za Mungu mwenyewe hawana uzao, wakiwa faragha na wake zao,, Hawatumii kondomu , wala withdrew Pamoja na...
2 Reactions
35 Replies
5K Views
Katika hali ya kusikitisha dada mmoja mwenye umri wa miaka 25 huko County ya Thika aelezea kisa cha baba yake alivyo mshawishi kumuoa na kuzaa nae mtoto wa ajabu baada ya kuishi nae takribani...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Jinsi ya kuwa na Mpenzi bora 1 lazima na ww uwe bora kwanza 2 lazima ujiheshimu ww kwanza 3 kama unataka mwenye gari hakikisha na ww unalo 4 ukitaka msomi na ww uneishia la 7 au fom 4 jua...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Wasalaam wadau, Sitaki kupoteza muda naomba niende moja kwa moja kwenye mada kuwa niko kwenye mahusiano na binti ambae tuko mikoa tofauti ambae tuna miezi kama minne inaendeaa mitano. Wiki za...
0 Reactions
56 Replies
4K Views
Wadau tusaidiane hapo kimawazo,km mume au mke amekuwa na mahusiano na mtu mwingine na amekuomba msamaha kwa kitendo alichofanya lakini unajikuta bado ukifikiria aliyoyafanya unapata hasira zaidi...
1 Reactions
34 Replies
8K Views
Kuna jamaa yangu alikuwa ni mtu wa bata sana na alikuwa na marafiki wengi sana na ndugu walikuwa wakimkubali sana na kumpigia simu kila kukicha, ila sasa maisha haya hayana mwenyewe yamemgeukia...
16 Reactions
140 Replies
18K Views
Binafsi napata shida sana kuwaelewa wanaume walio wengi. Unakuta mtu ana mke tena hana kosoro lakini akitokea mwanamke mwingine atatazamwa huyo mpaka utalazimika kusema. Juzi nilikuwa nakwenda...
2 Reactions
148 Replies
11K Views
Habari wana forum, Natumai wote tu wazima kwa uweza na majaaliwa yake muumba. Rejea mada tajwa katika maisha haya na umri wangu wa late 20s nimejifunza jambo moja kubwa juu yetu wanawake.Mungu...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Wengi tunapenda ndoa zetu zifungiwe kwenye yumba ya ibada kwa kadiri ya imani yetu. Ila pale mambo yanapokuwa magumu, hasa inapotokea tofauti ya imani, basi njia iliyobaki ni kufungisha ndoa...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Wakuu, ninawaletea taarifa hii nikiwa ni mwingi wa huzuni na majonzi ya hali ya juu. Hii si hadithi bali ni tukio la kweli kabisa lililomkuta mkuta rafiki yangu na sasa majuto ni mjukuu na sijui...
9 Reactions
82 Replies
9K Views
Mada nazani imeeleweka,kuwa kuna watu wanajifanya wastaarabu wanaheshima sana lakini ukweli wa mambo hayo yote hawanayo. Vipi mke wa mtu uchukuwe ukafanye nae mapenzi nikwamba huna heshima huna...
3 Reactions
58 Replies
5K Views
One day nikiwa job mke wangu alinipigia simu akinitaarifu kuhusu tatizo fulani ambalo limemtokea kazini. Ni gumu na nilimpa moyo lakini the ugly conclusion ni kwamba kwa msaada anaouhitaji mtu wa...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Ninaleta story hii hapa, ukitukana sawa, ukibeza sawa. Ila wanaume wa ukweli wako wangapi, mjihesabu? Nilifika wakati nikawa na choices 2 - Mwanaume A na Mwanaume B. Wanafahamiana na mara kwa...
9 Reactions
185 Replies
21K Views
Wandugu tafadhalini naombeni ushauri nifanye nini mimi kijana wenu..nilimaliza chuo kikuu mwaka 2008, nikabahatika kuajiriwa baada ya mwaka mmoja.baada ya ajira nlijiwekea malengo kadhaa lakini...
1 Reactions
74 Replies
13K Views
Niliposti https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/496338-kufunga-harusi-kanisani-au-kwa-mkuu-wa-wilaya-ushauri-unahitajika.html. Nimeonelea nitoe mrejesho wa post niliyoiposti na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…