Tuanzie hapa "wewe ni malaya"?Tujadili pamoja,tabia ya umalaya,husababishwa na nini hasa,na ni kundi gani ndani ya jamii linaloongoza? Yaani wanandoa,wanafunzi, house girls,wamama wa nyumbani,wafanyakazi,ma bar maida au?...
nimependasababu zako,ngoja na mie niongezee,kulipa fadhila,shida,umasikini,tamaa,kutofikishwa kilmanjaro nkTabia ya mtu na kutoridhika na ukipatacho,wengine wanapata kila kitu ila hiyo ndio inakua HULKA yake,na haina nani ziada
mwanamme anaweza kua mkewe anampa na anajitahidi kua mke bora, lakini haridhiki sasa nenda kaone hicho kituko alicho
chukua utajiuliza kwani haoni pua zake hazivuti sawa sawa? manake huyo anetoka nae hata mfanya kazi wake wa ndani msafi,sasa hapo ndio watu kama hao wananiwacha HOI...
Kwa hiyo wenzako unawajua usituchoshe!inawezekana,wewe je?
Duh!!ni suala la kigenetics zaid yaan sisi malaya hatujipendei tumeumbwa tuwe ivo