Mahusiano au ndoa mwanzo wake unakua mzuri sana kila mtu anakua na juhudi kwa kila kitu mitoko mingi, kupeana zawadi na manjonjo ya kila aina wakati wa tendo la ndoa.Kadiri mahusiano ynavyokua au kukaa kwenye ndoa muda mrefu tuna develop mazoea ambayo ni sumu kubwa sana katika mahusiano japo wengi hawapendi kuzungumza.
Wanaume na mwanamke wanapoishi kwa muda mrefu kwenye mahusiano siku zote upendo wa mwanamke ndio unazidi kuongezeka kwa mwanaume.Japo kuna mambo pande hizo mbili kila mmoja anajisahau kwa wakati wake.
Mwanamke ile hamu ya kufanya tendo inakuawepo na umemzoesha ukimpa unampa kweli anaridhika ila kadiri mazoea yanavyozidi wengi wa wanaume huwa hawajali hilo sana akifika mara moja wamelala basi siku imepita kwake yeye anachukulia kawaida.
Maana mwanaume hata mara moja akifanya anaridhika ila si mwanamke kuna wanawake wengine mpaka ujikunje vizuri mara ya kwanza unampa hamu ya pili anakuja kumaliza hamu yake.
Wanaume wengi kwa ambao nimeona wanalalamika ni ile atention inakua inapungua mavazi ya mwanamke kumpa attention mwanaume wake na pia yale manjonjo ya mwanzo ya kitandani pia yanakua yanafifia.Mabishano yasiyo na tija.
Mahusiano au ndoa ambayo inadumu ni ile inayozingatia mambo yote yaliyopelekea uhusiano kuanza kama ni mavazi, mitoko, pilika pilika za faragha na mengine shortly kupeana ile attention mliyokua mnapeana awali kila siku ya maisha yenu.Kupungua au kutojali mambo hayo na kuishi kwa mazoea imepelekea ndoa na mahusiano kuvunjika, mbali na hapobni kuzuka kwa michepuko kufidia hizo gaps.