mito
JF-Expert Member
- Jun 20, 2011
- 10,609
- 10,640
Kwanza nikiri wazi kuwa mada ya "Ulishawahi kujutia mchepuko?" ndo imenikumbusha hii habari ya huyu bwana nikaona nishee nanyi pengine kuna kitu cha kujifunza.
Ni mume mwenye mke wa ndoa kabisa plus watoto wa kutosha tu wanao. Sema jamaa hajichanganyi sana, yuko very isolated, yeye na mambo yake tu mwenyewe, hashei na mtu mambo yake binafsi. Ila wenye jicho la tatu ndo tunaelewaga kinachoendelea.
Jamaa ana michepuko 3 (at least nayoifahamu), na yote ni wajane wenye maisha yao. Yaani jamaa kazi yake kunusa wapi kuna msiba wa kibosile hapa town, then ajipange kummendea mjane baada ya siku za majonzi kuisha. Tunahisi hawa wajane wake ndo wanamuweka hapa mjini coz jamaa haieleweki anafanya kazi gani rasmi, lakini anaishi na familia inaishi. Kama nilivogusia wajane wake ni wale mambo poa. Kuna mmoja huyo hadi kamnunulia gari jamaa anakula nayo maisha hapa town. Tunajiulizaga alimsaundishaje mke wake tunashindwa kupata jibu la maana.
Tukubali tu kuishi mjini mipango, na kila mtu ana mipango yake!!
Mfano Kaboom yeye anauza vifuniko vya wadada, na wateja wake wakubwa ni atoto , Heaven Sent au wale wakaka dizaini za kina sumbai wanaotoka na mademu wakali kina cute b
Halafu housegirl nimekumbuka kitu! Kama nilivokwambia siku ile, suala la michepuko ni very complicated, si rahisi kama tunavyolijadili hapa, coz watu wanaregister michepuko kwa sababu maalumu au kwa malengo maalumu. Wale wanaochepuka for fun ni wachache sana, na hawa ni rahisi sana kuacha. Ni kama yule shost aliyemsema Sky Eclat ktk comment #42 kwenye uzi wa "Ulishawahi kujutia mchepuko"
Lakini wale wa kufuata fursa kama jamaa yangu ni ngumu sana kuacha aiseee