Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kuna taarifa kwenye gazeti moja la udaku kwamba eti kuna pasta 'anaomba usiku na mchana' Wema apate mimba. Nimeshtushwa kama kweli huyu pasta anajua maadili ya kanisa. Wawezaje muombea mtu...
8 Reactions
30 Replies
3K Views
Wasalaam wakuu habari za masiku tele? Bila shaka muwazima wa afya kama kawaida. wakuu na wanajf wote kwa ujumla nina swali la kuwauliza. swali hili nimekuwa nikijiuliza kwa muda mrefu nikawa...
1 Reactions
28 Replies
3K Views
Habari zenu mabibi na mabwana, ni imani yangu kuwa mu wazima kiroho na kimwili Nimetembelewa na rafiki yangu yapata wiki moja na zaidi, akitokea Mereran Arusha, urafiki wetu umekuwa ni undugu...
0 Reactions
44 Replies
4K Views
Niliweka huu uzi hapa Hii mimba kweli yangu? Aisee yule mtoto mchungaji kamtimua kama mbwa kanisani kuwa analitia aibu kanisa, hiyo imetokea baada ya kupata no ya mchungaji na kumpigia nikimchana...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Naomba msaada wa ushauri hasa wanaume. Nilianza kuwasiliana boyfriend huyu kwa njia ya simu mwaka 2014 mwanzoni ambapo wote tulikuwa hatujuani tukawa tunapendana sana tumeendelea na mapenzi yetu...
4 Reactions
115 Replies
13K Views
Ni Miezi Mitatu Sasa Toka Nihamie, Lakin Kuna Jambo Moja Nimeligundua, Milango Yote Ina Kitobo Kidogo Kinachohitaji Umakini Kukigundua. Cha Ajabu Nilipojaribu Kumtaarifu Baba Mwenye Nyumba Wangu...
1 Reactions
87 Replies
14K Views
Habari wanabodi, Nimeleta mada hii tujadili tuone ni wapi mtu anapokuwa sahihi na wapi mtu anakosea. ¤ Mkataba wa ndoa unawataka wanandoa kuvumiliana katika SHIDA na RAHA. ¤ Sasa chukulia...
3 Reactions
60 Replies
6K Views
kina dada kama hutoi tigo ndoa utaisikia kwenye bomba. asa we jitie unabania utafika miaka 40 bado upo kwa baba ako.
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Habari zenu? Nina imani kuna wadada wa kutosha humu na wakaka pia mwaweza kunipatia dada zenu.. ..ninahitaji binti mmoja tu anayejitambua na kujiamini.. Nimeshajipanga kimaisha na namuhaidi...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Natafuta rafiki wa kike ambaye nitampenda na kumjali, kubadilishana mawazo, company na kusaidiana katika mambo ya maisha. Sifa; Awe na Umri usiopita miaka 26 Awe na umbo zuri na sura ya kuvutia...
0 Reactions
0 Replies
835 Views
Bwana harusi amuacha mkewe masaa machache baada ya harusi, kisa ‘kuchati’ Bibi harusi na ubize wa kuchati kwasababisha bwana harusi kuvunja ndoa masaa machache baada ya harusi nchini Saudi...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kwanini watu wana DIMPLES Sio mbaya tukafahamishana tupunguze stress za mapenzi kidogo Technically, dimples are actually genetic defects.That means that there is something that didn't go quite...
2 Reactions
32 Replies
9K Views
Habari za saa hii wananzengo...? Kiufupi ni kwamba, miaka miwili nyuma kuna msichana mgeni nilimuona mtaani kwangu.Sasa baada ya kupeleleza nikaambiwa amekuja kumtembelea dada yake hapo mtaani...
6 Reactions
47 Replies
7K Views
Wasalam aleku ndugu zangu, Leo mishale ya saa mbili usiku nafunga ndoa. Ramadhani imefika kwa sisi tusiopenda kuzini kidogo inakuwa mtihani hivyo imeamua kuvuta kitu ndani. Hakuna sherehe...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 28 naitaji mke mwenye sifa zifaatazo 1.awe na umri kati ya 20-26 years 2.asiwe mnene sana 3.awe mkristu au aliye tayar kubadili dini 4.elimu angalu form four...
3 Reactions
24 Replies
4K Views
Nina best yangu wa kike anatoka na jamaa ambaye ameathirika na virusi vya UKIMWI. Wako kwenye mapenzi mazito na mzigo kapiga halafu huyu rafiki yangu anamuelewa ile mbaya. Je nimuambie binti au...
2 Reactions
51 Replies
5K Views
Jamani tusaidianeni kidogo hapa. Ni Namna gani ni nzuri ambazo unaweza kuzitumia kumuuliza rafiki yako kama ataweza kukupenda siku za usoni {je utanipenda?} na mkawa wapendanao wa ukweli kabisaa...
3 Reactions
37 Replies
5K Views
Mshikaji chumba cha pili juzi kati kaja usiku mwingi na bonge la zigo wakiwa wameshatoa lock Ila jamaa alikumbuka zana na Kuja kunigongea nilikuwa na moja tu ya dharura nikampatia kumbe hakutumia...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Nyota ndogo aliimba kuna watu na viatu-sawa na zege na niru, kiuwezo najitosheleza si haba, tatizo nina domo zege! Nashindwa hata kutongoza. Wajuvi wa mambo nisaidieni
2 Reactions
26 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…