Nimfanyeje huyu baba mwenye nyumba mpiga chabo?

Nimfanyeje huyu baba mwenye nyumba mpiga chabo?

Majigo

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
5,519
Reaction score
1,832
Ni Miezi Mitatu Sasa Toka Nihamie, Lakin Kuna Jambo Moja Nimeligundua, Milango Yote Ina Kitobo Kidogo Kinachohitaji Umakini Kukigundua.

Cha Ajabu Nilipojaribu Kumtaarifu Baba Mwenye Nyumba Wangu Kukiziba...Alikuja Juu Na Kusema ,Niiache Nyumba Yake Kama Ilivyo. Nikaona Ngoja Niwadodose Wapangaji Wenzangu.

Walinishangaza Waliponiambia Hilo Tundu Ni Kazi Maalum Kwa Baba Huyu. Nimegundua Analitumia Kutupiga Chabo Na Ndio Maana Anataka Vijana Waliooa Ndio Wapange Hii Nyumba.
 
Mvizie tu na wewe mida anayopiga chabo umpulizie piliplili kupitia hilo hilo tundu
 
Mchukulie binti yake akichungulia akakutana na utupu wa mwanae hatakaa arudie

Hahaha..Mkuu Hapo Umenena, kuna Kabinti Kake Nakatamani!......Tatizo Nina Mchumba Naishi Nae
 
Hilo tundu lina kipenyo cha ukubwa gani mpaka uombe baba mwenye nyumba akzibie? Huo si ni uzembe wako mwenyewe....

Nunua Seal Tape (solotepu)na ubandike kwa karatasi ngumu kwa ndani umalize tatizo...

Mkuu Amesema Hataki Kiguswe Kwani Ni Mfumo Wa Nyumba Yake Ili Hewa Ipite
 
Kwani hako katobo kako direct proportional na chumba cha huyo dingi bazazi.?
Kma ndivyo kizib ekwani usipoziba tobo .....
 
Kwani hako katobo kako direct proportional na chumba cha huyo dingi bazazi.?
Kma ndivyo kizib ekwani usipoziba tobo .....

Chumba Changu Kiko Pembeni Huku Karibu Na Uani Mkuu
 
Back
Top Bottom