Tusaidiane jinsi ya kumwambia rafiki kama ataweza kukupenda baadae

Tetramelyz

JF-Expert Member
Apr 25, 2014
4,364
12,456
Jamani tusaidianeni kidogo hapa. Ni Namna gani ni nzuri ambazo unaweza kuzitumia kumuuliza rafiki yako kama ataweza kukupenda siku za usoni {je utanipenda?} na mkawa wapendanao wa ukweli kabisaa.?

NB:Namna ninazomaanisha hapa ni zile za kimbinu zaidi(kimombo:tactical)

Namaanisha, karibuni kwa michango kwa lugha zote.
 
Mkuu hapo jambo moja ni rahisi saana....

Jiridhishe kwanza wewe kama unampenda kwa dhati.... Na utampenda kwa hali yoyote

Kisha ukimuuliza kwa Mara moja huwezi kupata jibu sahihi....

Anza kumuanda kisaikolojia taratibu act and play smart.... Outing, simple gift n.k....

Mfanye yeye akupende....
 
Hapa nina uhakika % zote

I'm done kwa haya yote, tatizo ni just kuuliza
 
Mkuu kumuuliza kama anakupenda au anaweza kukupenda ni dalili ya kutokujiamiji

Go strait tuu.....nakupenda nataka tuwe wapenzi mapenzi ya Mungu yakitimia Tuwe mke na Mume....
Then mpe muda akujibuu....

Ila usimpe option ya kumuuliza kwamba unanipenda au hunipendi....

Eleza unachotaka.....mwachie aamue
 
Mkuu Umeua,,,,...
 
Hivi nikija kubahatika kupata mtoto wangu wa kwanza wakiume nikakuambia umtafutie jina utamuita nani!
akisha kujibu au akikuuliza unamaanisha nini?
-ninampango wa kujakufunga ndoa na mtuyeyote aliyekaribu yangu kwa muda mrefu maana ntakuwa nishamchunguza na amenikolea kwenye moyo wangu sitarudi nyuma kwa chochote kile juu yake.
Jaribu kumsoma kama maneno yako yana mfikirisha kichwa ikiwa yanamfikirisha mwambie hiyo habari muijue nyinyi tu wawili asimwambie mtu yeyote yule kisha anza kumsoma hatua zake pindi uwapo karibu nae kama anahitaji awe yeye utamjua tu.
 
Hivi nikija kubahatika kupata mtoto wangu wa kwanza wakiume nikakuambia umtafutie jina utamuita nani!
akisha kujibu au akikuuliza unamaanisha nini?
-ninampango wa kujakufunga ndoa na mtuyeyote aliyekaribu yangu kwa muda mrefu maana ntakuwa nishamchunguza na amenikolea kwenye moyo wangu sitarudi nyuma kwa chochote kile juu yake.
Jaribu kumsoma kama maneno yako yana mfikirisha kichwa ikiwa yanamfikirisha mwambie hiyo habari muijue nyinyi tu wawili asimwambie mtu yeyote yule kisha anza kumsoma hatua zake pindi uwapo karibu nae kama anahitaji awe yeye utamjua tu.
 
Jamani tusaidianeni kidogo hapa. Ni Namna gani ni nzuri ambazo unaweza kuzitumia kumuuliza rafiki yako kama ataweza kukupenda siku za usoni {je utanipenda?} na mkawa wapendanao wa ukweli kabisaa.?

NB:Namna ninazomaanisha hapa ni zile za kimbinu zaidi(kimombo:tactical)

Namaanisha, karibuni kwa michango kwa lugha zote.

HAUNA PICHA JAPO YA MFANO MKUU?
 
Hivi nikija kubahatika kupata mtoto wangu wa kwanza wakiume nikakuambia umtafutie jina utamuita nani!
akisha kujibu au akikuuliza unamaanisha nini?
-ninampango wa kujakufunga ndoa na mtuyeyote aliyekaribu yangu kwa muda mrefu maana ntakuwa nishamchunguza na amenikolea kwenye moyo wangu sitarudi nyuma kwa chochote kile juu yake.
Jaribu kumsoma kama maneno yako yana mfikirisha kichwa ikiwa yanamfikirisha mwambie hiyo habari muijue nyinyi tu wawili asimwambie mtu yeyote yule kisha anza kumsoma hatua zake pindi uwapo karibu nae kama anahitaji awe yeye utamjua tu.
Aaaah... Nimekuvulia kofia
 
Back
Top Bottom