kizibo1
JF-Expert Member
- May 14, 2015
- 1,187
- 766
Mshikaji chumba cha pili juzi kati kaja usiku mwingi na bonge la zigo wakiwa wameshatoa lock
Ila jamaa alikumbuka zana na Kuja kunigongea nilikuwa na moja tu ya dharura nikampatia kumbe hakutumia
Sasa kuanzia jana akijisaidia haja ndogo anapiga kelele hiyo, muda huu katoka chooni alikokuwa akiugulia maumivu nikamuuliza mwana kwema huko? Kanijibu eti 'tayari' manake juzi kati aliona hafaidi akapendelewa kisogo ndomu ikalia sasa anaugulia