Natafuta rafiki wa kike

mwandiga

JF-Expert Member
Dec 5, 2011
1,506
664
Natafuta rafiki wa kike ambaye nitampenda na kumjali, kubadilishana mawazo, company na kusaidiana katika mambo ya maisha.

Sifa;
  1. Awe na Umri usiopita miaka 26
  2. Awe na umbo zuri na sura ya kuvutia na uzuri wa asili
  3. Awe na tabia njema na asiwe na tamaa mbaya
  4. Awe ana ndoto za maendeleo na mitazamo chanya katika maisha na anayejiamini
  5. Awe na Elimu ya kuanzia ngazi Kidato cha nne na kuendelea
  6. Awe tayari kupendwa na kupendeka, kudekezwa na kudeka

Sifa zangu:
  1. Umri wangu miaka kati ya 28-33
  2. Elimu yangu: kuanzia kidato ca nne na kuendelea
  3. Kazi: Nimejiajiri
  4. Sina mke

Ambaye yuko seriously tuwasiliane kwa PM kwa mawasiliano zaidi

PM Zote zitajibiwa haraka sana kwa walio seriously.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom