Jinsi nilivyokutana na mke wangu mpenzi

daaa! very interstingi mimi wangu alinijambia kwenye basi, kwa kweli nilikasirika sana maana nilijua kuwa aliyenijambia ni yeyey maana yeye ndo alikuwa amesmama mbere ya kiti nilichokuw animelalaria kwa uso wangu uku nikiwa na usingizi, baada ya ushuzi ule tulishuka kituo kimoja nae aliniomba nimsamehee maana ane alijua kama nimejua kuwa yeye ndo aliyenijambia, kuanzia pale tukawa marafiki na hvi sasa ni mke na mme, ila ndani ya ndoa kujamba ameacha.
 
Haha Dah hii story miyeyusho
 
Duuh! Inaelekea siku ya kwanza kula mzigo uliula kihasira eeeh, ukifidia kadhia ya matapishi uliyoipata. Hongera mkuu, ulipanda na sasa umevuna matunda mema... Changamoto za hapa na pale zipo, huna budi kuzikabili...
Alafu mkuu inaonekana wewe ni wa zamani sana. Hizo stori zinanikumbusha UD ya miaka ya 2004 to 2007 hivi.
 
Ni kweli mkuu hii ni UD ya 2004 - 2007.
Hizo zinazoitwa college zote hazikuwepo tulipoanza hapo kulikuwa na faculty tu.
ARDHi ilikuwa sehemu ya UD
 
daaa! very interstingi mimi wangu alinijambia kwenye basi, kwa kweli nilikasirika sana maana nilijua kuwa aliyenijambia ni yeyey maana yeye ndo alikuwa amesmama mbere ya kiti nilichokuw animelalaria kwa uso wangu uku nikiwa na usingizi, baada ya ushuzi ule tulishuka kituo kimoja nae aliniomba nimsamehee maana ane alijua kama nimejua kuwa yeye ndo aliyenijambia, kuanzia pale tukawa marafiki na hvi sasa ni mke na mme, ila ndani ya ndoa kujamba ameacha.
:D:D:D yaani mnavituko humu JF
 
Huyo hakika hakukupenda bali aliona utakuwa umekereka sana so akajitoa mhanga kama Magu anavyosema... Yaani hapendi ila ndio basi tu... ila Ndoa zidumuzo ni zile za waliopendana kikawaida... na mke akiwa mzuri sana ni Shida Ndoa kudumu ni kazi kwani mke atatongozwa sana na sio rahisi kukataa wote wamtongozao...
 
daaa! very interstingi mimi wangu alinijambia kwenye basi, kwa kweli nilikasirika sana maana nilijua kuwa aliyenijambia ni yeyey maana yeye ndo alikuwa amesmama mbere ya kiti nilichokuw animelalaria kwa uso wangu uku nikiwa na usingizi, baada ya ushuzi ule tulishuka kituo kimoja nae aliniomba nimsamehee maana ane alijua kama nimejua kuwa yeye ndo aliyenijambia, kuanzia pale tukawa marafiki na hvi sasa ni mke na mme, ila ndani ya ndoa kujamba ameacha.
Ha ha ha ha nimechekaje
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom