Sababu za watu watu wana DIMPLES

Quinton Canosa

JF-Expert Member
Nov 2, 2012
1,220
1,225
Kwanini watu wana DIMPLES
Sio mbaya tukafahamishana tupunguze stress za mapenzi kidogo
Technically, dimples are actually genetic defects.That means that there is something that didn't go quite right when the DNA was being formed in the early stages of development.Dimples reveal themselves when a person smiles. This is because when a person smiles, the skin is pulled upwards, causing a depression in the cheek area.If you have dimples, you inherited it from someone in your family. Most likely your mom or your dad
Ni kaulemavu fulani hivi japo watu wanaona ni urembo

4cadc31d6c53839fc4912be79cb58ebd.600x.jpg
 
View attachment 353816
Ulaya Ni Ulemavu
lakini KibongoBongo Ni DILI
 
But wanapendeza.Wazungu nao tunawachoka....wametuletea suruali bana niachie baadaye wakasema wao hizo ni special kwa wagonjwa wa matende.....wameanzisha kata kundu baadaye wakasema hizo ni ishara za wanaume wapigwa nyuma hujitambulisha hivo.Hawa watu siyo wazuri totally!
 
ha ha ha ha ndio maisha hayo,japo kweli wenye DIMPOZ wanapendeza
 
I love dimples...... mwanamke akiwa na dimple ya upande mmoja au zote anapendeza. Hata kwa wanaume zinawapendeza na ndo hapo wa naonekana hendisamu boi. .
Dimples is symbol of beauty/handsome as it is to a black spot in a face. I love those symbols. .... my genes......

Kasie mie.
 
Unaonekana una dimples Kasinde....hongera hata mimi nikimuona mwanamke mwenye dimpoz am going insane japo mlemavu,na wangesema wangapi wanataka ulemavu wa dimpozi naona dunia nzima ingeomba
 
Hata mwanya ni ulemavu kwa wazungu na wanauchukia ila bongo tunaupenda. Ifike pahala tuache kuona wazungu ndio standard ya ubora.
Hebu ona huyo Dada hapo alivyopendeza na dimpo yake
 
umenena lakini bongo watakupinga mpaka basi
 
Back
Top Bottom