Classmate wangu anatoka na jamaa mwenye UKIMWI

DMCT

JF-Expert Member
Apr 25, 2015
2,275
5,931
Nina best yangu wa kike anatoka na jamaa ambaye ameathirika na virusi vya UKIMWI.

Wako kwenye mapenzi mazito na mzigo kapiga halafu huyu rafiki yangu anamuelewa ile mbaya. Je nimuambie binti au nikaushie?

NB: Jamaa niliendaga kupima nae.
 
Kwanini hukumwambia kabla hawajaanza na unawafahamu wote??!!!
 
Nina best yangu wa kike

Kama ni best yako kweli inaonesha alikushirikisha tangu mwanzo kabla jamaa hajala huo 'mzigo'

Wako kwenye mapenzi mazito na mzigo kapiga halafu huyu rafiki yangu anamuelewa ile mbaya. Je nimuambie binti au nikaushie?

Hapa sentensi zimenichanganya kidogo

NB: Jamaa niliendaga kupima nae.

Ina maana jamaa ni mtu wako wa karibu pia?
 
nilikuwa sijui kama anatoka nae coz alihis na mm nachukua baada ya hapo ndo akanambia
 
Nina best yangu wa kike anatoka na jamaa ambaye ameathirika na virusi vya UKIMWI.

Wako kwenye mapenzi mazito na mzigo kapiga halafu huyu rafiki yangu anamuelewa ile mbaya. Je nimuambie binti au nikaushie?

NB: Jamaa niliendaga kupima nae.

Ulipima naye ama ulimpima? Kwani wenye ukimwi hawastahili kupata vipoozeo?
 
Kweli vijana tutamalizana wenyewe tukumbuke kutumia condom , tusipime kwa macho UKIMWI upo sana Ndg zangu
 
acha majungu ukimwi hautishi watu wanaogopa kisukari na kansa watu tumeadhirika na tunaishi fresh acha ale maisha acha wivu ww
 
dhambi zinaangiza watendao, there is a reason behind nakwambia hivi Mungu anapenda sana wale wanamtukuza i crossed a lot of river and mountains and im still chillin enjoy the God love.
 
Back
Top Bottom