Mchungaji anayemuombea Wema apate mimba amepotoka

Usedcountrynewpipo

JF-Expert Member
Aug 1, 2012
3,636
2,725
Kuna taarifa kwenye gazeti moja la udaku kwamba eti kuna pasta 'anaomba usiku na mchana' Wema apate mimba.

Nimeshtushwa kama kweli huyu pasta anajua maadili ya kanisa. Wawezaje muombea mtu ambaye hajaolewa kupata mimba? Kwa nini asimuombee aolewe kwanza?
 
Mropokaji huna uhakika Ila umeshaconclude na kulaumu na kuhukumu wenzako
 
uko right huyo siju atakuwa mchungaji wa wap? Inaonekana hajui anachokifanya, utamuombeaje mzinz ashike mimba? Huyo njaa inamsumbua sana. Wanaombewa wapate watoto ni wale waliopo kweny ndoa tu yaan walioana. Sasa mtu hajaolewa halaf unamuombea apate mtoto. Lbda km unaabud miungu lbda. Amuombee aolewe kisha aombee kwa ajili ya mtoto. Siku hiz dhambi zimehararishwa wanawake na wanawake wanaoa, wanaume hivyo hivyo. Duh! Sodoma na gomora
 
Kuolewa ni swala kingine jamani, kama binti kapewa mtoto na Mungu, inakuwa faraja sana kuwa na mwanae muda wrote maana Sie wababa wengi ni Mandindindi wa mjini, wanapenda kulelewa na wamama, ndo maana wengi wanaamuaga kujizalia na kuwa single mamiii
 
Kweli huyo mchungaji amepotoka, na wala hajui anachosimamia, unawezaje mchungaji kumuombea mzizi apate mtoto, Kazi ya viongozi wa Dini kuonyesha njia sahihi.
 
Mropokaji huna uhakika Ila umeshaconclude na kulaumu na kuhukumu wenzako
Ndoa kama angekuwa nayo tungejua tu. yeye ni mtu maarufu hawezi kuwa na ndoa halali isijulikane.

Mimba inapaikana kwa kufanya mapenzi, na kanisa la Kristo haliruhusu watu ambao hawajaolewa au kuoa kufanya mapenzi. hivyo muulizaji yuko sahihi mchungaji huyo amepotoka.
 
Wa kileo hao mapasta lakini pia hayo magazeti uzushi wao sasa umepitiliza
 
Nasema wema akishika mimba hakika sir.shetan atapaa na kuketi mkono wa kushoto wa mungu
 
huna kosa kwa kuleta siledi ya ugomvi kam hii,,,, ila naomba jina la gazeti nilijue kwanza ili kama ni uongo sheria ifuate mkondo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom