Saa mbili usiku naoa

kijanamtanashati

JF-Expert Member
Aug 22, 2014
516
903
Wasalam aleku ndugu zangu,

Leo mishale ya saa mbili usiku nafunga ndoa. Ramadhani imefika kwa sisi tusiopenda kuzini kidogo inakuwa mtihani hivyo imeamua kuvuta kitu ndani.
Hakuna sherehe tumeamua kubariki ndoa tu.

Naombeni dua zenu ndoa yangu iwe na baraka idumu milele isiwe ndoa ya Ramadhani.
 
msiachane tu baada ya mfungo, otherwise nikutakie ndoa njema na mfungo mwema mkuu
 
Hii ndoa ya kupikiana futari tu.

Btw ametoa tigo nini mpaka unamuoa?
 
Back
Top Bottom