Mrejesho: Hii mimba kweli yangu?

mgombea uvccm2017

JF-Expert Member
Jan 11, 2016
505
376
Niliweka huu uzi hapa Hii mimba kweli yangu?

Aisee yule mtoto mchungaji kamtimua kama mbwa kanisani kuwa analitia aibu kanisa, hiyo imetokea baada ya kupata no ya mchungaji na kumpigia nikimchana live aache kudanganya na achukue jukumu maana ile mimba ni ya kwake ila anataka nikamatisha.

Mtoto wa watu imebidi aniweke wazi kuwa kweli ni mimba ya nabii ila walipanga nikamatisha.Nimemsaidia pesa amepanga huko uswahilini anaishi na kujiandaa kuitwa mama.

Ila wachungaji wa kilokole acheni hizo mambo bana
 
Mtaje hapa kurekebisha tabia,
Mana kama unamficha hata mmi ningeweza kuanzisha thread kama zako
 
hili nalo JIPU!!! hawa wanaotumia jina la MUNGU km kitega uchumi na kuharibu maisha ya watu malipo yao ni hapahapa duniani,,,,,,,,,,,, bora ni baki na MR wangu kulikoni kupeleka matatizo yetu huko.
 
Back
Top Bottom